Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Ondoa Gwajima weka Hussein Mwinyi
 
Hivi wewe Rabbon seriously unategemea uandike masifa ya kijinga ya kumpamba Magufuli halafu tukae kimya? Kama wewe alikutendea vyema kumbuka kuna aliowatendea unyama. Lazima vyote viwekwe kwa mizania iliyo sawa ndiyo wasomaji wapime.
Ndomana nasema mawazo Yako yaheshimiwe Kwa kuwa unalazimisha tujadili sifa mbaya ambazo haikutajwa kwenye thread.

Mfano mzuri,Majambazi wa kutumia silaha walishughulikiwa ipasavyo katika utawala wake, SHERIA inasema jambazi akamatwe, anyanganywe silaha na afikishwe court.

Bt Magu alitumia shortcut ambayo Kwa wanademokrasia ni uvunjwaji wa SHERIA na HAKI za binadamu.

Kwa upande mmoja familia za waliokuwa majambazi waliouwawa, walihuzunika, lakini wakati huo huo wananchi wengi walifurahia matokeo hayo.

Hakuna uamuzi wowote usio na lawama upande Fulani.

Vipi hapo ndugu HUIHUI2?
 
Je Makonda
Huyo Si mzalendo, ni mwigizaji na msaka fursa.

Si muumini wa kulipa Kodi, Philip Mpango alikamata containers zake alizojaribu kuingiza pasi kulipa Kodi.

Ndomana Philip Mpango amekaa hapo juu Kwa sifa ya UZALENDO.

Mtu wa aina hiyo hawezi kuisaidia Nchi zaidi ya kuharibu.

Ninasema Kweli, na kawaida ya Kweli haijawahi kupinda!!
 
Waubudu mizimu ndio kawaida yenu
Matendo mazuri ya mtu hayafi, huishi milele.

Unawezaje kuacha kulitaja Jina la Mwl Nyerere Nchi hii Kwa Mfano?

Ukiwa Mwizi, fisadi lazima ulaaniwe na kusahaulika!!
 
Huyo Si mzalendo, ni mwigizaji na msaka fursa.

Si muumini wa kulipa Kodi, Philip Mpango alikamata containers zake alizojaribu kuingiza pasi kulipa Kodi.
Je Makonda baada ya ma container yake kushikwa Magufuli alimchukulia hatua gani?

Kumbuka umesema wakwepa kodi wengine aliwatupa jela?

Kama hakumchukulia hatua basi UONGOZI wa Magufuli ulikuwa ni HORRIBLE wala si wa kuigwa.

Dunia hii siyo ya kuongozwa na madikteta.
 
Gwaji boy dah!
 
Aliyechukua hatua ya kuyazuia ni Mzalendo Philip Mpango.

Kodi ilipolipwa, yakaachiliwa.

Pia kumbuka, Magu haujadiliwi hapa, zinajadiliwa sifa njema 4 alizokuwa nazo Magu kuwahusisha watu 4 hapo juu.

Jikite kwenye mada.
 
Ni Makonda tu hao wote uliowataja hawana mvuto hata kwenye hotuba zao. Makonda ndiye tegemeo pekee
 
Anaabudiwa Mungu,

Magu mzalendo anakumbukwa Kwa mema aliyoitendea nchi!!!

Na ajaye ni muhimu akawa na sifa 4 tajwa hapo juu.

Amen
Hakuna mema alifanya yule TAKATAKA zaidi ya kuleta mgawanyiko wa nchi ki makabila, kikanda na kiitikadi.

Mtu anasema kabisa kuwa hapa Tunduma mlichagua mbunge wa CHADEMA, kwa hiyo sileti miradi ya maendeleo. Na kumbuka Tunduma wanalipa kodi kama Chato.

Hilo DUBWASHA Mungu alilikataa ndiyo maana lilikufa likiwa madarakani baada ya kuiba kura zote za 2020 October.

Angekuwa mwema angeeendelea kuwa hai.

Watanzania jifunzeni kumuelewa Mungu na alama anazotupa. Magufuli alikuwa ni laana na alikuwa anaharibu utaifa wetu.

Mtu wa calibre ya Magufuli hatumtaki na hana nafasi kwa Tanzania ijayo
 
Sitakujibu sababu unatutoa kwenye mada.

Ahsante Kwa mchango wako 🙏
 
Gwaji boy dah!
Ndiyo ujue kuwa mtoa thread Rabbon ana akili ya mende. Kweli tapeli wa Biblia Gwajima anamfikiria kwenye Urais wa Tanzania? Huyu hata ubunge wa Kawe mwaka 2025 hachukui form kwa sababu anajuwa hatakatiza. Halafu mpumbavu mmoja anaanzisha thread ya kuwa Gwajima ni presidential prospect. Rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…