Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Hujui kuwa mojawapo ya kazi ya bunge ni kuhoji na kuiwajibisha serikali itimize majukumu yake vizuri kutia ndani wizara ya nishati ambayo TANESCO iko chini ya wizara hiyo

Mbunge wa jimbo lako umewahi kumsikia akiongea kuhusu tatizo la umeme?

Kwa hiyo wewe unapopiga kura za kuwachagua wabunge hujui jukumu la mbunge wako?
Inamaana wakati mama yenu huyo alpokuwa anapangua watu waliowekwa na Jiwe mlikuwa hamuoni!? Si mliwaona wale wa jiwe hawafai mkaweka mbulura wenzenu kwenye hzo Idara leo mnasingizia Bunge la JPM!! Very funny.
 
KWA GAWAJIMA HAPANA KWA KWELI 🙌🙌🙌
Una shaka juu ya:

1. Uzalendo wake?

2. Ikiwa ana maono au la?

3. Uchapakazi wake ni WA kutiliwa shaka?

4. Uthubutu na misimamo isiyoyumba ni tatizo kwake?

Toa sababu🙏

Ndugu zangu Watanzania, tujifunze kumkata au kumkubali Kwa HOJA na sababu za msingi.
 
Una shaka juu ya:

1. Uzalendo wake?

2. Ikiwa ana maono au la?

3. Uchapakazi wake ni WA kutiliwa shaka?

4. Uthubutu na misimamo isiyoyumba ni tatizo kwake?

Toa sababu🙏
Ahsante kwa sababu ulichokiandika hapo ni sababu tosha,, na wasiwasi ni akili mkuu.
 
Una shaka juu ya:

1. Uzalendo wake?

2. Ikiwa ana maono au la?

3. Uchapakazi wake ni WA kutiliwa shaka?

4. Uthubutu na misimamo isiyoyumba ni tatizo kwake?

Toa sababu🙏

Ndugu zangu Watanzania, tujifunze kumkata au kumkubali Kwa HOJA na sababu za msingi.
Nina mashaka hata kama atasoma report yote au anasoma report yoyote. Ni bora aende holiday kupumzika, bata. Ziara kama hizi za Makonda ingebidi afanye yeye kama mtangulizi wake.

Atamwambia mtu asome na kumuuliza afanyaje?
 
Kazi ya Urais ni kuwa mfano, kauli, matendo, vitendo vyako, teuzi, tenguzi zako zote ni mfano kwa watendaji wako.

Wewe unapata mfano gani sasa hivi ukiwa mtendaji kama waziri, mkurugenzi, meneja?
 
Hapo Gwajima ndio pekee anastahili, kama mtabadilisha list basi hakikisha yumo. Huyu peke yake ndio ametuhakikisha pasina shaka kwamba akili zake hajamkabidhi mtu.

Kama kuna jambo la kuheshimu kwa huyu mtu ni uwezo wa kusimamia jambo analoamini lina maslahi mapana kwa taifa. Gwajima ana namna mbili za kuongea; anaongea kwa sauti kali yenye msisitizo au ananyamaza kabisa. Akinyamazia jambo ambalo kila mtu analirukia basi ujue hapo amelikataa.
 
List haitobadilika.

Fafanua kidogo,

Jambo lipi amelinyamazia Kwa maana ya kulikataa?
 
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO/VISION.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Mkuu, je wana cheti cha mirembe! 🤣 🤣 🤣
 
Huu sasa USHIRIKINA 🙃
 
Back
Top Bottom