SSEKK The Literally
JF-Expert Member
- Sep 5, 2023
- 1,134
- 1,905
Inamaana wakati mama yenu huyo alpokuwa anapangua watu waliowekwa na Jiwe mlikuwa hamuoni!? Si mliwaona wale wa jiwe hawafai mkaweka mbulura wenzenu kwenye hzo Idara leo mnasingizia Bunge la JPM!! Very funny.Hujui kuwa mojawapo ya kazi ya bunge ni kuhoji na kuiwajibisha serikali itimize majukumu yake vizuri kutia ndani wizara ya nishati ambayo TANESCO iko chini ya wizara hiyo
Mbunge wa jimbo lako umewahi kumsikia akiongea kuhusu tatizo la umeme?
Kwa hiyo wewe unapopiga kura za kuwachagua wabunge hujui jukumu la mbunge wako?
Una shaka juu ya:KWA GAWAJIMA HAPANA KWA KWELI 🙌🙌🙌
Ahsante kwa sababu ulichokiandika hapo ni sababu tosha,, na wasiwasi ni akili mkuu.Una shaka juu ya:
1. Uzalendo wake?
2. Ikiwa ana maono au la?
3. Uchapakazi wake ni WA kutiliwa shaka?
4. Uthubutu na misimamo isiyoyumba ni tatizo kwake?
Toa sababu🙏
Wasiwasi😀wasiwasi ni akili mkuu.
Eeeeeee!!! Anko Halima??????? 😳vp anko Halima ye hafai kisha first lady awe bulaya
Hapo wa kuweza kuvaa hivyo vitatu ni KASSIM MAJALIWA.Wasiwasi😀
Anyway, wapo wengine watatu hapo juu,
Upendeleo wako unaangukia wapi?
Nina mashaka hata kama atasoma report yote au anasoma report yoyote. Ni bora aende holiday kupumzika, bata. Ziara kama hizi za Makonda ingebidi afanye yeye kama mtangulizi wake.Una shaka juu ya:
1. Uzalendo wake?
2. Ikiwa ana maono au la?
3. Uchapakazi wake ni WA kutiliwa shaka?
4. Uthubutu na misimamo isiyoyumba ni tatizo kwake?
Toa sababu🙏
Ndugu zangu Watanzania, tujifunze kumkata au kumkubali Kwa HOJA na sababu za msingi.
Wote hawana sifa tajwa hapo juu zaHakuna hata mmoja
List haitobadilika.Hapo Gwajima ndio pekee anastahili, kama mtabadilisha list basi hakikisha yumo. Huyu peke yake ndio ametuhakikisha pasina shaka kwamba akili zake hajamkabidhi mtu.
Kama kuna jambo la kuheshimu kwa huyu mtu ni uwezo wa kusimamia jambo analoamini lina maslahi mapana kwa taifa. Gwajima ana namna mbili za kuongea; anaongea kwa sauti kali yenye msisitizo au ananyamaza kabisa. Akinyamazia jambo ambalo kila mtu analirukia basi ujue hapo amelikataa.
Mkuu, je wana cheti cha mirembe! 🤣 🤣 🤣Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
🤔Mpango anachunguzwa na Jeshi ili arejeshwe kwao Gitega,Katelefone ni Muongo na Mlaghai hapo labda Lissu ambae huwa habubuji wala kuremba maneno
Jikite kwenye mada🙏Mkuu, je wana cheti cha mirembe! 🤣 🤣 🤣
Huu sasa USHIRIKINA 🙃Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Fafanua. Ushirikina kivipi?Huu sasa USHIRIKINA 🙃