Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Hapo ni
Kasimu majaliwa
Paul makonda
William lukuvi
Mzee wa injinia soma hapo
 
Kwa huyo bwana wa namba 4 hapo, nadhani tutahitajika kwanza kupunguza ukubwa wa nchi yetu hadi iwe ndogo kama ukubwa wa kanisa moja, kisha ndiyo tumpe nchi.

Ova
 
Kwa huyo bwana wa namba 4 hapo, nadhani tutahitajika kwanza kupunguza ukubwa wa nchi yetu hadi iwe ndogo kama ukubwa wa kanisa moja, kisha ndiyo tumpe nchi.

Ova
Jikite kwenye mada,

By the way hayo makanisa anavyosimamia huyo ndugu ni duniani, Si Tz pekee!!
 
Namba I & 2 safi kabisa ila na 3 na 4 ndio umekosea kabisa.
 
Kaka kwani cuf na chadem nao hujawaona au ni ccm tu ndo wameumbwa hii nchi hao mpk mungu atakapokuja
 
Ndio kwanza January,

Lissu kakwepa mtego wa kuondoshwa kiaibu Kwa kuwekewa pandikizi Wenje Kwa kumpandia huko huko juu mkt.

Tusubiri
 
Hongera No3,

Hongera TUNDU Lissu,

Mbona kama naotaaaa🎶🎵
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…