- Thread starter
- #461
Nimekwambia,Wewe kama nani bhana,acha kuleta mikwara hewaaa [emoji1787]
Ponapona ya CCCM 2025 ni kuja na mgombea mpya,
Tofauti na hapo,
Upinzani utawala Nchi Kwa mara ya kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekwambia,Wewe kama nani bhana,acha kuleta mikwara hewaaa [emoji1787]
Tusubiri,Sijaona wa kumzia Mama
Uchumi
Elimu
Afya
She is OK and she is doing fine.
Hivyo ukaamini Lissu anamtambua Magufuli kama wewe unavyomuona? Unazijua political gimmmicks?Kwani umeelewaje neno " viatu vya magufuli"?
Nimeainisha kabisa sifa pekee na upande nilipoamua kumzungumzia Magu,
Coin Ina pande mbili,
Lissu mwenyewe amekiri wazi kuwa, Magu alikuwa Mzalendo, kamwe asingeshiriki Kugawa Bandari zetu Kwa wageni!!
Umekuwaje?
Hana UZALENDO. Akipita, utasikia harufu ya RUSHWA.Ongeza makonda hapo
Haya ni matumaini siyo mipango.Mungu atazuia.
Lissu yupo hapo kwenye list Kwa sifa tajwa hapo juu,Hivyo ukaamini Lissu anamtambua Magufuli kama wewe unavyomuona? Unazijua political gimmmicks?
Kusanya maoni yote ya Lissu kumhusu Magufuli kisha jaribu kumfikishia hivyo “viatu vya Magufuli” avijaribu uone mtakavyoelewana.
Tatizo huna mipango. Una matumaini.Nimekwambia,
Ponapona ya CCCM 2025 ni kuja na mgombea mpya,
Tofauti na hapo,
Upinzani utawala Nchi Kwa mara ya kwanza.
Ndio nakuambia,Haya ni matumaini siyo mipango.
Afadhali Majaliwa na Mpango wanaweza kujaribu, hao wawili wa mwisho nawaona kama wavuta bangi tena ya Arusha na kuna mmoja wakati wa serikali ya awamu ya nne alionyesha chuki za wazi dhidi ya uislamu na waislamu.Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Hapa sasa unaingiza masuala ya imani.. Anyway mambo ya imani siwezi kuhoji maana hata mungu wako simjui, pambana boss. Ukiwa na mipango nje ya masuala ya imani tujadili.Ndio nakuambia,
Hayatatimia nilitosema ikiwa Mungu hajasema,
Lakini ikiwa ni Kweli aliyesema hayo ni Mungu mwenyewe,
Neno lake lazima litasimama.
Sina mpango wowote zaidi ya kusikia sauti na maelekezo ya Mungu muumba wa Mbingu na Nchi juu ya Tanzania.Hapa sasa unaingiza masuala ya imani.. Anyway mambo ya imani siwezi kukubishia maana hata mungu wako simjui, pambana boss. Ukiwa na mipango nje ya masuala ya imani tujadili.
Yaani uongo wake kwenye kifo Rais, tayari umeushausahau?Hapo umepatia mmoja tu Kassim Majaliwa.
Hao wengine ni wachumia tumbo tu
Kusikiliza sauti si mpango. Masuala ya imani ni magumu kidogo, hatutafikia muafaka. Hapa nikikuuliza tu mungu unayemuongelea aliyeziumba mbingu na nchi amekuelekeza uabudu dini ipi na ina uhusiano gani na ccm na upinzani tutazua mjadala mwingine.Sina mpango wowote zaidi ya kusikia sauti na maelekezo ya Mungu muumba wa Mbingu na Nchi juu ya Tanzania.
Tusubiri,
Tuone kati Mungu na wanadamu, yupi mwenye mamlaka ya juu kuliko mwingine.
Chuma kile tukiachana na mambo mengineHana UZALENDO. Akipita, utasikia harufu ya RUSHWA.
Hakuna hata mmoja hapo kwenye orodha yakoSalaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Tusubiri.Hakuna hata mmoja hapo kwenye orodha yako