Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana jaribu kuchinja unaweka kwenye frigi unauza rejareja au tafuta wauza vipande vijiweni toka nenda kwa wauza chips watakuungisha,sikuizi hatusubir wateja waje lasivyo mfuko wa chakula utakuhusu kila siku...poleWafugaji wenzangu wa broilers huko kwenu soko lipoje maana huku kwenye ni vilio tupu. Saiv nimeamua kugawa tu kuku maana wanazidi kunitia hasara.
Asante sana. Nimeshajaribu kwenda huko ila pamejaa nauza moja moja kwa nadra sanapole sana jaribu kuchinja unaweka kwenye frigi unauza rejareja
au tafuta wauza vipande vijiweni
toka nenda kwa wauza chips watakuungisha,sikuizi hatusubir wateja waje lasivyo mfuko wa chakula utakuhusu kila siku...pole
Unapatikana qapiAsante sana. Nimeshajaribu kwenda huko ila pamejaa nauza moja moja kwa nadra sana
Nenda sokoni kaombe matenga makubwa kwa wauza kuku (jieleze kiume hata kama ni KE - watakuazima au kukukodisha kwa bei ndogo), weka kuku kwenye tenga - katafute lori zinazorudi Dar zikiwa hazina mizigo, waombe - watakubebea kwa bei ndogo tu ukawauze Dar, utapata faida kidogo kuliko hivyo unavyowagawa bure. Changamoto za biashara kama hizo ndio zinazotofautisha vipato baadae, unayekata tamaa utaporomoka na atayekomaa atasogea.Sipo DSM mkuu
Mkuu nisaidie maswaliano yako niweze kujiunga kwenye soko Hilo,Mimimfugaji ninao wana week 2 Sasa bandaniUko wapi? Mi nina soko la uhakika hata kama una kuku 10k. Ili mradi wawe na vigezo vinavyohitajika. Nipo Dar
Broiler aweza kusurvive safari ya Arusha Dar????Nenda sokoni kaombe matenga makubwa kwa wauza kuku (jieleze kiume hata kama ni KE - watakuazima au kukukodisha kwa bei ndogo), weka kuku kwenye tenga - katafute lori zinazorudi Dar zikiwa hazina mizigo, waombe - watakubebea kwa bei ndogo tu ukawauze Dar, utapata faida kidogo kuliko hivyo unavyowagawa bure. Changamoto za biashara kama hizo ndio zinazotofautisha vipato baadae, unayekata tamaa utaporomoka na atayekomaa atasogea.
Askofu please adviseWafugaji wenzangu wa broilers huko kwenu soko lipoje maana huku kwenye ni vilio tupu. Saiv nimeamua kugawa tu kuku maana wanazidi kunitia hasara.
Arusha ni sehemu ya kitalii,jaribu kutbelea kwa wauza chips,mahotelini migahawani hope utapata pa kuanziaArusha ndugu
Mkuu nimeshazunguka sanaa ila kila mtu anakwambia ana mtu wake anae mletea. Pia asilimia nyingi ya hotel za kitalii zinataka kuku kienyeji sio hawa wakizungu.Arusha ni sehemu ya kitalii,jaribu kutbelea kwa wauza chips,mahotelini migahawani hope utapata pa kuanzia
Brother hebu nenda kwa Kiongozi wa Dini ujaribu kuombewa,milango itafunguka tuMkuu nimeshazunguka sanaa ila kila mtu anakwambia ana mtu wake anae mletea. Pia asilimia nyingi ya hotel za kitalii zinataka kuku kienyeji sio hawa wakizungu.
So mzee unanishauri nifuge soko lipo?Uko wapi? Mi nina soko la uhakika hata kama una kuku 10k. Ili mradi wawe na vigezo vinavyohitajika. Nipo Dar