Wafugaji wa kuku chukua majumba ya konokono yaunguze kisha uyasage upate unga

calcium sio moja ya vitu ghari,
Wafugaji wa kuku

Chukua majumba ya konokono yaunguze kisha uyasage upate unga.

Tumia huo unga kuchanganya na chakula cha kuku wako—ni msaada wa kuongeza calcium kwa kuku. Ni nzuri sana!

Mdharau asili hufa masikiniView attachment 3412152
kononokono, mifupa, hata kwenye dagaa kuna calcium nyingi sana,
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…