Habari wakuu,
Khalysh investment tusambaza chakula cha kuku cha aina zote kwa bei ya kiwandani—ubora wa hali ya juu, bei rafiki, na uhakika wa matokeo shambani.
🐔 AINA ZA CHAKULA TUNAZOTOA:
🔹 Kuku wa Nyama (Broilers)
✔️ Starter – kwa vifaranga (ukuaji wa haraka)
✔️ Grower – kuku wanaokua
✔️ Finisher – kuku wa mwisho kabla ya sokoni
🔹 Kuku wa Mayai (Layers)
✔️ Chick Mash – vifaranga wa mayai
✔️ Grower Mash – kuku wanaokua
✔️ Layer Mash – kuku wanaotaga (huongeza uzalishaji wa mayai)
💡 Faida zetu:
✔️ Bei ya moja kwa moja kutoka kiwandani
✔️ Ubora unaoaminika
✔️ Inafaa kwa ufugaji wa kisasa na wa kienyeji
📦 Tunahudumia wafugaji wadogo na wakubwa — popote ulipo tunakufikia.
📞 Mawasiliano: 0792 855 800
🚚 Free delivery mikoa yote Tanzania
👉 Usikubali kuku wako wale kwa mazoea—walishie kwa uhakika wa matokeo!