The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Moro wilaya gani
na mimi moro nataka kulima vitunguu but sina wenyeji wataalamu[/QUOTE
Ruaha mbuyuni.
Njoo utembee siku moja japo sidhani kama niko kwenye kundi la wataalamu wa kilimo,bado kuna mengi nahitaji kujifunza.Kunaitwa Malolo.
Kwani Ruaha mbuyuni ni Moro? sio Iringa?