Wafugaji wa Mbuzi, tunaweza pata semens za breed kama vile Torrgen burg, Anglo-nubian, Saanen na Alpine

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,967
Reaction score
9,544
Changamoto ya ufugaji wa mbuzi hasa wa Maziwa ni quality ya mbuzi, make wengi wamechakachuliwa mbaya na wengine wamepandikizwa na wa Kienyeji hivyo ni full uchakachuaji.

Sasa tunaweza pata mbegu za breeds tajwa hapo juu na kuboresha mbuzi wetu, hasa kama una mbuzi wa maziwa wasio kuwa na quality.

Sema ni process ngumu sana ila inawezekana kabisa tupata hizo mbegu na kuboresha mbuzi tulio nao.
 
Tafuta sanen ndio breed nzuri ya dairy goat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…