Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Mapaka" duu umewaita vibaya sana aiseebahati mbaya sipendagi mapaka mkuu
Mpendwa mwana jf, unaweza kushangaa kusikia kuwa mbwa ni biashara nzuri kupita hata kufuga ng'ombe kibiashara na ukashangaa.
Uzi huu utakuwa ni maalum katika kupeana uzoefu katika biashara hii ya kufuga mbwa kwa lengo la kujipatia kipato na ulinzi pia.
Tutajifunza aina bora na inayohimili mazingira yetu hasa Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.
Hivyo mdau ikiwa wewe ni mfugaji wa wanyama hawa kibiashara, nakukaribisha sana utupatie uzoefu juu ya aina mbali mbali mfano;
a) German shephard
b) Belgian shephard
c) Bull dog
d) Rottweiler
e) Ridge back nk
mambo muhimu ya kupeana uzoefu;
1) banda/ nyumba bora ya kufugia
2) chanjo
3) Masoko nk
View attachment 887893View attachment 887894
maelezo ya German shephard soma post #5
Ni nakukaribisha utupe uzoefu wako na kwa wale wanaotamani kujifunza mnakaribishwa kwa maswali na wadau watakujibu
Mkuu baada ya kuona sikusomi nikaamua nizame kwa wataalamu wa hii kitu,napenda kutengua kauli yangu nakukiri uko sahihindugu kuna kipindi unahitaji kuhoji kabla hujatoa hitimisho, huwezi kujua kila kitu, mimi nafuga ng'ombe wa kisasa na bei ya ndama mdogo kabisa kuanzia miezi 3 ni kati ya 250,000 hadi 350,000, hii inategemea na gredi ya ng'ombe.
kama umekulia kanda ya kati Singida, Dodoma, kanda ya ziwa huwezi kunielewa.
huko wanafuga ng'ombe wa kienyeji zaidi na bei ni sawa na bure hasa msimu wa kilimo.
Ninaongea ninachokifahamu na kukiishi.
kama unaswali karibu
Cha kukuongezea tuusijali na karibu mkuu
asante kwa utafiti mzuri.Cha kukuongezea tu
Gs asilimia almost 70 % sio pure breed hapa bongo ndo maana unakuta zinauzwa hadi 200,000 ,kwa GS pure inaanzia milion hadi na nusu ya miezi 2 ,ila angalizo nyingi tulizonazo sio pure ilikuijua iliyopure vigezo ni hivi
1.urefu wa miguu ya mbele ni mirefu kuliko ya nyuma,na urefu ni 22-26 chini hadi bega (akiwa na zaidi ya mwaka)
View attachment 916875
2.masikio yake huwa ni makubwa yaliyosimama wima
View attachment 916876
3.Mkia wa pure breed huwa ni wenye manyoya mengi sana
View attachment 916877
4 ,kUNA AINA ZA MBWA KARIBU 200 ila DNA Hudhihilisha kama iko pure au imechanganyia ,hii ni ghali ndo maana inaepukwa ,
HITIMISHO
Breed nyingi kwa bongo zimechakachuliwa hivyo ukiamua kufuata wazohili zuri la biashara jiongeze sana kushauriwa alienishauri aliniuzia GS kwa 200,000 nimemuhoji ndo kaniambia ukweli kuwa yangu sio pure breed akaniambia niangalie masikio yamelala sana akaniambia ingekuwa pure hata laki 9 sichukui.Aidha gs akikua anauzwa hadi 8000 usd ,wazungu wa migodini ndo wateja wakishamuona na vigezo vyote unakulamzigo ilani aghali sana pia kuwalea
3 ni kweli kabisa mkuuasante kwa utafiti mzuri.
1. Watu wengi hawafahamu gs
matokeo yake wanauziwa cross breed,
ukiwa na pure ni biashara nzuri sana
hizo sifa ulizotaja pia tumejadili posts
za mwanzoni mwa uzi.
2. kuhusu wateja wako wengi zaidi ya
wazungu.
3. TAHADHARI usinunue gsd toka kwa wazungu kama unategemea kuzalisha, huwa wanachoma sindano kuua uzazi kwani wanaamini mwafrika hawezi kutunza mbwa
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]tulijadili pia hapo juuGerman shephard;
Kama anavyoonekana hapo juu kwenye picha;
Huyu kwangu ni mbwa bora kabisa kwa ulinzi na Kibiashara;
Mbwa huyu ana nguvu nyingi,
Anafundishika kirahisi na
mwenye mvuto machoni.
Katika majeshi ya nchi nyingi
anatumika kama mmoja wa askari cc Waziri Lugola..hahaha.
Sababu kubwa ni moja yambwa wenye akili na kufundishika.
mbali na majeshi ya nchi mbalimbali kumtumia, pia watu binafsi humtumia kwa ulinzi.
Mbwa huyu anasoko sana endapo utakuwa na mbegu nzuri kwani uzao mmoja waweza kupata vitoto 5 na kuendelea.
Kitoto cha miezi 2 huuzwa kuanzia 700,000 hadi 1,200,000 hapa bongo na Kenya zaidi
SIFA YA MBEGU BORA
1. Masikio yaliyosimama
2. miguu ya mbele ni mirefu
kuzidi ya nyuma...
3. kifua kikubwa
4. miguu ya nyuma kupinda
5. mdomo mrefu
6. rangi ya kaki/kahawia na nyeusi mgongoni
Cha kukuongezea tu
Gs asilimia almost 70 % sio pure breed hapa bongo ndo maana unakuta zinauzwa hadi 200,000 ,kwa GS pure inaanzia milion hadi na nusu ya miezi 2 ,ila angalizo nyingi tulizonazo sio pure ilikuijua iliyopure vigezo ni hivi
1.urefu wa miguu ya mbele ni mirefu kuliko ya nyuma,na urefu ni 22-26 chini hadi bega (akiwa na zaidi ya mwaka)
View attachment 916875
2.masikio yake huwa ni makubwa yaliyosimama wima
View attachment 916876
3.Mkia wa pure breed huwa ni wenye manyoya mengi sana
View attachment 916877
4 ,kUNA AINA ZA MBWA KARIBU 200 ila DNA Hudhihilisha kama iko pure au imechanganyia ,hii ni ghali ndo maana inaepukwa ,
HITIMISHO
Breed nyingi kwa bongo zimechakachuliwa hivyo ukiamua kufuata wazohili zuri la biashara jiongeze sana kushauriwa alienishauri aliniuzia GS kwa 200,000 nimemuhoji ndo kaniambia ukweli kuwa yangu sio pure breed akaniambia niangalie masikio yamelala sana akaniambia ingekuwa pure hata laki 9 sichukui.Aidha gs akikua anauzwa hadi 8000 usd ,wazungu wa migodini ndo wateja wakishamuona na vigezo vyote unakulamzigo ilani aghali sana pia kuwalea
Cha kukuongezea tu
Gs asilimia almost 70 % sio pure breed hapa bongo ndo maana unakuta zinauzwa hadi 200,000 ,kwa GS pure inaanzia milion hadi na nusu ya miezi 2 ,ila angalizo nyingi tulizonazo sio pure ilikuijua iliyopure vigezo ni hivi
1.urefu wa miguu ya mbele ni mirefu kuliko ya nyuma,na urefu ni 22-26 chini hadi bega (akiwa na zaidi ya mwaka)
View attachment 916875
2.masikio yake huwa ni makubwa yaliyosimama wima
View attachment 916876
3.Mkia wa pure breed huwa ni wenye manyoya mengi sana
View attachment 916877
4 ,kUNA AINA ZA MBWA KARIBU 200 ila DNA Hudhihilisha kama iko pure au imechanganyia ,hii ni ghali ndo maana inaepukwa ,
HITIMISHO
Breed nyingi kwa bongo zimechakachuliwa hivyo ukiamua kufuata wazohili zuri la biashara jiongeze sana kushauriwa alienishauri aliniuzia GS kwa 200,000 nimemuhoji ndo kaniambia ukweli kuwa yangu sio pure breed akaniambia niangalie masikio yamelala sana akaniambia ingekuwa pure hata laki 9 sichukui.Aidha gs akikua anauzwa hadi 8000 usd ,wazungu wa migodini ndo wateja wakishamuona na vigezo vyote unakulamzigo ilani aghali sana pia kuwalea
mkuu umekandamiza haswa, asante kwa elimu.Ni kweli tupu kuwa GS kachakachuliwa sana. Watu wengi wanaofuga GS hawana elimu hata kidogo kuhusu swala zima la uzalishaji GS.
GS anapandwa na jibwa dume lolote tu unategemea nini??
Kwa upande wangu nimeamua kuachana kabisa na GS nimeamua kufunga Belgian Malinois (BM).
Tofauti kubwa kati ya GS na BM ni umbo la mwili tu na miguu ya nyuma.
BM wana mwili mdogo na miguu ya nyuma iko sawa na ya mbele, kwa hiyo wako na umbo la square.
Sifa ya BM:
-Highly intelligent
-More active kuliko GS
-More energetic than GS
-More agile than GS
-Wavumilivu wa magonjwa
-Low cost maintainance
-Hawachoki kwenye mituringa
-Wako sharp mno
-Walinzi wazuri mno.
-Siyo wazuri ukiwa na watoto wadogo, hapa ndo mahali pekee anapo shine GS. GS yuko friendly sana na watoto.
-BM wanatumiwa na wajeshi zaidi sababu ni wepesi kubebeka na wanajeshi wakiwa wanaruka na parachuti zao. GS mzito mno ndo maana anatumiwa na polisi zaidi.
Swala zima la ulinzi linahitaji mbwa wa kukuamusha zaidi kuliko kung’ata. Mbwa anayebweka akiona adui hana tofauti na Security alarm.
GS yupo dunia zaidi ya miaka 1000 iliyopita, ndo maana kachakachuliwe ile mbaya hasa na hawa waswahili wasiozingatia qualities za ku breed mbwa.
Nina mengi ya kusema ila niishie hapa kwa mwezi huu.
GS nawahurumia sana, siyo pure GS tena ila ni GSKOKO.
Wenye pure GS ni wachache mno sehemu kubwa ni kudanganyana tu.
mkuu umekandamiza haswa, asante kwa elimu.
mkuu BM puppies wauzaje?
mkuu kuna jamaa anaitwa rasta pale Moshi, nasikia ana gs wazuri, je una contacts zake?[/QUMcheki instagram au facebook...anaitwa nattydogs .....pale kuna namba yake. Jamaa ana mbwa wazuri kweli.