Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

we kama mm siku moja nilikuta linasumbuana na mbwa wangu aisee nilitafuta Gongo moja matata nikamtandika nalo akazima nikajua nimemrahisishia mbwa wangu pambano naye alivyoona paka kazima akamuonea huruma akamuacha nikaingia ndani kurudi sikukuta paka kashasepa.Paka ana kichwa kizito mno yaani hafundishiki aisee.
bahati mbaya sipendagi mapaka mkuu
 
Wakuu kuna hii breed ya mbwa inaitwa Boerboel,asili yake ni South Africa. Very intelligent,muscular na wakali sana.Kuna nchi nyingi sana zinawapiga marufuku kama zinavyopiga marufuku American Pitt Bull terrier/Fila Brasileiro/Dogo Argentino etc etc.Kwa upande wangu mimi na kwa namna ninavyosoma na kufuatilia review za breeds nbali mbali za hawa viumbe,hii breed ni nzuri sana.Huwa wanafikisha mpaka kilo 90,na kwa kuwa wana genes za local African dogs,huwa wanastahimili mazingira na hali ya Africa vizuri sana.Ni guard dog wazuri na pia huwa wanatumika kwa livestock (Ingawa hakuna mbwa ambaye akiwa mmoja anaweza kumzuia simba au chui). Ngoja nijaribu kuweka picha moja au mbili hivi.
 
Najifunza sana kutoka kwenu ni mwanafunzi siku nikiamua kufuga sijaona kama belgian malinois hawa mbwa hakuna wakufanana nao
 
kuna mdau humu inaonyesha ni mzoefu zaidi juu ya hawa BM
@Tundapori
Najifunza sana kutoka kwenu ni mwanafunzi siku nikiamua kufuga sijaona kama belgian malinois hawa mbwa hakuna wakufanana nao
 
mizigo ya ukweli
 
inabidi tumwamshe
Aisee ni kweli maana wadau tupp wengi so tunaisubiri elimu ya hawa wadudu.Mm sijui nina gundu nao gani maana kila nikifuga wawili waliozaliwa pamoja lazima mmoja afe na hutokea wakifikisha miezi 3 au 4
 
wapi hiyo!! tunune
 
Upo sahihi mkuu ni kweli pure breed bongo wapo wachache na mmi mwenyewe binafsi nimekutana nao hao cross wengi tu.. Ila naomba tu niseme kuwa wapo cross breed German Shepherds ambao ni very good quality.

Nimekutana nao cross breeds wengi wanaoweza kupata mafunzo na kuwa na performance nzuri sana hasa kwa ulinzi.. Tofauti kubwa inakuja kwenye Temparament.. Mara nyingi pure breed anao uwezo mkubwa sana wa kubadilika kua aggressive ndani ya mda mfupi wa kupewa command.. Cross nae utakuta anao uwezo wa kubadilika ila sio kwa haraka na kwa hasira kama pure breed.

Kwaio kwa mtu anaetaka mbwa mlinzi wa nyumbani .. Sioni sababu ya kumkataa cross breed ikiwa ni cross nzuri maana ata hao pure breeds wakiwa majumbani uwaga wanapewa domesticated training.. Hata siku moja mbwa wa nyumbani hatakiwi kupewa training sawa na yule wa jeshini. Atakua ni hatari sio tu kwa maadui lakini pia kwa wenyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…