Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Tatizo ukipost picha wapo watu wanachukuaga picha na kufanyia matangazo wao.. Mwisho wa siku unakuta mteja ambaye yupo serious anaziona picha kila sehem anajua na mmi tapeli..

kama hutojali tuwekee picha hapa mkuu
 
Kwa ambae yupo interested anichek.. Utawaona wazazi uamue mwenyewe... Kama kitu chenyewe au sio
Tatizo ukipost picha wapo watu wanachukuaga picha na kufanyia matangazo wao.. Mwisho wa siku unakuta mteja ambaye yupo serious anaziona picha kila sehem anajua na mmi tapeli..
 
Naomba kuuliza jamani hv na hawa waliopo ktk Geshi retu hiri ra Porisi nao ni Crossbreed au ni Pure???
 
Kuna mdau kapost hao Boerboel post # 344,hao mbwa kama ndama vile. Sasa mbwa wa kilo 90 sijui utamudu kumlisha ? Maana kwa ukubwa huo chakula kinaweza kuwa issue. On plus side mbwa wa size ile hata kama io mkali akikuangalia tu lazima ulale mbele.
Nimesoma hiyo breed ya Boerboel ni mbwa hatari sana na si vizuri kuwafuga kama huna uzoefu na mbwa.Naona kuna nchi nyingi sana zimewapiga marufuku.
 
baadhi ya mbwa sio rafiki kwa familia, wanafaa kwa ulinzi viwandani, magodaun, mashamba nk.
swali; unahitaji mbwa wa ulinzi na familia au wa ulinzi pekee?
jibu analo muhitaji
 
Mkuu kwa ninavyofahamu jeshi letu lina pure breed za German sherpherd na Belgian malinois.
mkuu nusu ni sawa na nusu sio sawa.
baadhi ya mikoa majeshi yetu yana cross breed ya gs
 
Tatizo ukipost picha wapo watu wanachukuaga picha na kufanyia matangazo wao.. Mwisho wa siku unakuta mteja ambaye yupo serious anaziona picha kila sehem anajua na mmi tapeli..
Mkuu siunakuwa flexible hizi unazotuma hapa unachana Nazo huzitumii tena kwa mteja serious unamtumia nyingine tofauti...ni ushauri tu kama utafaa...kwa maoni yangu kufanya hivyo utajiwekea uaminifu zaidi hapa
 
Ni cross hao lakini unaweza kujionea mwenyewe walivyo good quality..
Bei ni nafuu hasa kwa mtanzania wa kawaida.
 
Reactions: etb
Mengi umeeleza sawa isipokuwa GS ni kati ya breed mpya imeanzishwa mwishoni mwa 1800's hawana hata miaka 200 sasa wewe hiyo 1000 umeitoa wapi?

Kingine watu wengi hawaelewi kuwa kuna GSD show line na GSD working line, kama uta concentrate on looks, you will end up buying a show line GS kwa ajili ya ulinzi.

nimewahi kusema kwenye huu uzi kuhusu the first GSD pamoja na mambo mengine hakuwa na miguu ya nyuma mifupi kiivo, he had almost a flat back, na hiyo ndio sifa ya working line GSD until now.

Breeders wa show line GSD have through years made show line GSD look like they are today.
 
Ukweli unabakia pale pale kuwa GS yupo duniani miaka mingi na amechakachuliwa kishenzi.
 
mkuu kama hutojali naomba utupe uzoefu wako kuhusu utengenezaji wa chakula cha BM wako pamoja na chanjo
Ukweli unabakia pale pale kuwa GS yupo duniani miaka mingi na amechakachuliwa kishenzi.
 
Ukweli unabakia pale pale kuwa GS yupo duniani miaka mingi na amechakachuliwa kishenzi.
BM breed ilikuwa created Mwaka 1892 around the same the same time GS breed ilikuwa created so hoja ya muda haina mashiko.

Mimi nadhani kuna sababu nyingine iliyosababisha uchakachuliwaji wa GS na moja wapo ni popularity iliyosababisha Waenee maeneo kibao na kuwa na variations nyingi, mfano kuna west Germany GS, East European GS, American GS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…