Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Sipendi mbwa yoyote mkali kupita kiasi.
R.W naye mkali sana, simpendi
Pitbull kila anavyozidi kukua ndio ana develop uchizi, usishangae siku unarudi unakuta amekula familia yote.... japo wengine wanamtetea ila ukweli ndio huo, ana uchizi ndani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nina mbwa wangu hapa home sijui wa aina gani? Nikiacha viatu nje nakuta mikanda yote yote imekatika,wanantia hasara kweli...wakija wageni aibu tupu....sijui niwafenyeje!
Huyo km wangu kipindi nafuga aling'atang'ata raba zengu mpyaaaa nilizisahau nje pia alichana chana mashuka na nguo nilizoacha kwenye kamba asubuh naamka mwenyewe full kunichangamkia nikamuangalia kwa hasira namuuliza Bobo hiki nn,duh akisikiaga hiki nn anajua kinachofuata hadi mkojo unaanza kumtoka ila nikamuacha tu sijui dawa yake nn kwa kweli

Enheee!! Hivyo hivyo,hiyo tabia wife akifua nguo akianika yeye unamkuta kazishusha chini zote halafu Analala full kujiachia Ila sasa hivi anamwogopa wife kuliko mi mwenyewee!! Siku moja nilikuta kamfunga anampiga fimbo mbwa analia km mtoto......
 
Naomba niwasaidie kitu hapo tafadhali Mbwa ni mnyama anaependa kucheza, kwahiyo hiyo tabia mnayoiona ya kuchana vitu inatokana na Mbwa kukosa nafasi ya kucheza na kiongozi wake au mmiliki wake, unachotakiwa ni kutenga muda walao lisaa kwa siku kucheza na kutembea na Mbwa wako kila mara itasaidia kumfanya aasiharibu vitu kila mara,
 
Atakuwa cross huwa wana develop tabia za ajabu sana, anaweza kuwa mwoga kupitiliza au mkali kupitiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni either parents wake walikua na tabia mbovu au walicrossiwa ambao ni ndugu.

Alinipa hasira mno wiki zilizopita,ndugu yangu kaleta gari yake ailaze kwangu kwa siku moja matokeo yake yule fala kararua turubai ya gari vibaya mno...nilikua nimechoka mno siku iyo,katikati ya usingizi mzito naskia vurumai kubwa kucheck nje naona turubai ya watu inachakazwa! Aisee nilitoka na kipisi cha nondo nilienda kumpiga nayo kichwani mara 3,4 hivi uhai wake ukakata mida hiohio!
Mlinzi nakutegemea unilindie vitu vyangu halafu wewe tena ndo wa kwanza kunitia hasara mbaya zaidi kwa kitu ambacho si changu!

Ndio mara yangu ya kwanza mbwa ananijaza upepo wa hasira kias kile dah!

Sasa hivi nimenunua Belgian malnois wa miezi 8.hawa mbwa nimewaelewa sana ukali wao hauhitaji mafunzo sana kama gsd,wananusa balaa,wako active sana.
 
BM ni mbwa hatari mno

Nilishawahi kufuga mbwa Germany shepherd, sasa nilimpata akiwa mkubwa nq ilikua changamoto kumzoea, kumfanyisha mazoezi.

Ila kuna siku nilisahau viatu nje na nje moja kwenye kamba asubuhi naamka navikuta vimeraruliwa balaa. Nilichofanya maana niliambiwa na dog trainer mmoja, akiharibu vitu wewe muweke pembeni mwa sahani yake ya kula, alafu tafuta fimbo umchape ataelewa.

Sasa nikachukua vile viatu na hiyo jeans nikamuwekea usiku nilipo mfungulia pemben kama kawaida, nikaweka viatu na Jean's na chakula chake hapo ktk sufuria nikatega anakuja nikamchapa. Nilifanyia hivo siku1 baada ya kama mwezi hivi nikasahau tena nguo aisee nilzikuta kama zilivo nikajua kweli mbwa anafundishika kama mtu.
Huyo km wangu kipindi nafuga aling'atang'ata raba zengu mpyaaaa nilizisahau nje pia alichana chana mashuka na nguo nilizoacha kwenye kamba asubuh naamka mwenyewe full kunichangamkia nikamuangalia kwa hasira namuuliza Bobo hiki nn,duh akisikiaga hiki nn anajua kinachofuata hadi mkojo unaanza kumtoka ila nikamuacha tu sijui dawa yake nn kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni either parents wake walikua na tabia mbovu au walicrossiwa ambao ni ndugu.

Alinipa hasira mno wiki zilizopita,ndugu yangu kaleta gari yake ailaze kwangu kwa siku moja matokeo yake yule fala kararua turubai ya gari vibaya mno...nilikua nimechoka mno siku iyo,katikati ya usingizi mzito naskia vurumai kubwa kucheck nje naona turubai ya watu inachakazwa! Aisee nilitoka na kipisi cha nondo nilienda kumpiga nayo kichwani mara 3,4 hivi uhai wake ukakata mida hiohio!
Mlinzi nakutegemea unilindie vitu vyangu halafu wewe tena ndo wa kwanza kunitia hasara mbaya zaidi kwa kitu ambacho si changu!

Ndio mara yangu ya kwanza mbwa ananijaza upepo wa hasira kias kile dah!

Sasa hivi nimenunua Belgian malnois wa miezi 8.hawa mbwa nimewaelewa sana ukali wao hauhitaji mafunzo sana kama gsd,wananusa balaa,wako active sana.
Nikweli ulisemalo ila kwa haki za wanyama hukutenda haki ndugu kuna nafasi kubwa ya kumrekebisha Mbwa au kumpeleka pale mikocheni kuna wale jamaa wanapokea mbwa nakuwahifadhi kisha wanawarekebisha tabia wanakuwa sawa kabisa. Hao Belgian Malnois ni Mbwa wazuri kweli lakini zingatia mahitaji yao,1 uwe unampa nafasi ya kucheza kila mara kwakuwa sio Mbwa wa kukaa bandani kila mara,2 kumbuka kumpa mafunzo ya utii maana akicharuka kwa mtu asie mjua na kama hujampatia mafunzo utarudia ile nondo umtwange tena,3 kumbuka ukiwa na ua mfupi na kukiwa na watu wakorofi au watoto wanaopita hapo kuchokoza mbwa ni hatari pia,4 jaribu kuwatafuta wakufunzi wa mbwa wakusaidie kumfundisha utiifu maana ni kwa faida yako na Mbwa wako. Miezi 8 ni umri mzuri kabisa wa kufundisha Mbwa na yusisahau pia kumfunza kuto kula kitu nnje ya banda na anae mlisha.5 Jitahidi utenge muda uwe unacheza nae na kumweka kwenye lish kila utembeapo nae na awe mkono wa kushoto kwako kila utembeapo nae.5 Hao wana ball drive kubwa sana mtafutie mipira maalumu ya kucheza nayo utamfurahia daima. Karibu sana.
 
Ni kweli mkuu sikufanya uamuzi mzuri wakumuua ila ni hasara za hasira mda mwingine mtu unaweza kushindwa kujizuia.
Asante sana pia kwa ushauri wako murua kabisa juu ya mbwa.
 
Hivi wadau hii tabia ya watu kuwachapa mbwa wao kwa bakora imekaaje?

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Aina hii ya mbwa inaitwaje?
angalia picha nilizoweka
against_the_wild_11cd35.jpeg
unnamed.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom