nerilan
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 454
- 691
Mkuu kuna mahali nilikuwa nasoma, wanasema gsd wako kwenye two different lines, kwa maana kuna wale ambao ni "working line" na wengine ni "show line" gsd.gs amekaa hiviView attachment 891841
Sasa tofauti ni kwamba hawa show line wanakuwa bred kwa ajili ya mashindano/ maonyesho zaidi na ndo wengi wao wako angulated/ wenye migongo iliyo pinda, hips fupi kama jinsi huyo anavyoonekana.
Kwa upande mwingine hawa working line wanakuwa bred kwa ajili ya kazi kama kulinda na kuchunga mifugo/guard dog kwa maana rahisi ni mbwa wa kazi. Wao migongo yako iko somehow straight compared na hao showline.
Nadhani mwingine anaweza ongezea pia