Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacheki https://www.instagram.com/makupa_rabbits/Natafuta watoto wa sungura!!
Wawe wenye umri uliozid miezi 3
Idadi kubwa sana
Naombeni mwenye connection
Hebu nipe 5zako za jinsi unavyofuga?? Ndabi ya Banda ama huriaHahahahahah nimeanza na sungura watatu nillihamasika na nyama yake aisee tamu sana ya kuku ikasubiri.
Nataka niwaongeze wawe atleast 10 (nawanunua) majike saba na madume 3.
Mahali niliko wanapatikana bei nafuu sana
Mrejesho mkuu,Nimeanza kufuga sungura just for nyama tu nimeanza na mmoja nataka wawe wengi by mwisho wa mwaka niwe nao hata 50