Brayan_Jk
JF-Expert Member
- Mar 28, 2025
- 210
- 250
Kila Mfugaji wa Kuku anaelewa kwamba karibia 70% ya matumizi huwa ni Chakula cha Kuku, Lakini cha kushangaza ni wafugaji wengi wanalisha Kuku waliokufa. Kipindi naanza Ufugaji wa Kuku nilijiuliza sana je ni njia gani ambazo naweza kutumia kupunguza gharama ya Chakula, Idea zilikua nyingi ikiwemo kutengeneza chakula mwenyewe,Kununua kwa bei ya kiwandani, Kupunguza matumizi ya usafiri wakati wa kusafirisha chakula baada ya Kununua.
Njia moja ambayo niliona ndo inaweza kunisadia Zaidi nikisema nipunguze gharama ya Chakula bila kupunguza ubora wa Chakula (Risk ya kutengeza Chakula mwenyewe) ni kuacha kulisha Kuku waliokufa, Hapa namaanisha kulisha kiwango kilekile cha kula wakati Kuku wamepungua kwa ajili ya Vifo.
Hii Njia wafugaji wengi wa Kuku wanaiona sio kubwa sana ila ni kwasababu wengi wao hawapigi hesabu na hawalishi kwa kufuata ratiba sahihi, Tuchukulie mfano mrahisi,Umeanza Kufuga kuku kama 500 hivi, ile wiki ya 1 tu, Kwa bahati mbaya ukapata vifo 10, Usipopunguza Chakula ,kwa mwaka mzima utakua umepoteza walau Tsh 432,000 kwenye Chakula tu (Makadirio ya Chakula ni 1,200 kwa kg au 60,000 kwa 50kg) Na hapo ni mwaka tu, kwa kipindi chote cha ufugaji utakua walau umepoteza Tsh 562,000 au ni sawa na kusema umepoteza Zaidi ya mifuko 7 au 11 kwa kipindi chote cha Ufugaji wa Kuku hao wa Mayai
Licha ya athari ya kipesa,Kuku wakizidi uzito especially wa mayai huwa wanatabia ya kupunguza utagaji wa mayai na kurisk kupata changamoto ya uzazi kama prolapse. Na unajua kabisa madhara ya Kuku kupunguza utagaji ni gharama hata za kuku kujilisha wenyewe inakua tabu, mtu anaishia kuwatunza kuku kwa hela za mishe zingine wakati inabidi hao kuku wawe wanajitunza
Ndio maana tuliamua kutatua hii changamoto kwa Wafugaji wa Kuku kwa Kutengeneza Fuga App, App amabayo moja ya kipengele chake kinamsaidia mfugaji kujua kiwango sahihi cha chakula cha kuku kulingana na idadi,umri na aina ya Kuku
Kama bandani mwako,Kuku wamekufa au umeamua kuwagawa,Fuga App itaangalia Kuku wangapi wamebakia ,itapiga hesabu kiwango cha Chakula sahihi na kukupa ratiba ya Chakula Cha asubuhi na Jioni ,hii inakusaidia usiwazidishie chakula kuku na kwa mda mmoja inakusaidia kuwalinda na athari zinazoletwa na unene ,Inahakikisha kuku wanakuwa kwa uzito unaotakiwa na sio Zaidi au chini
Njia hii itakuokolea pesa sana na ni rahisi kufahamu ratiba ikiwemo na mambo mengine mengi mno Fuga App inaweza kukusaidia kwenye Ufugaji wako wa Kuku kama kurekodi matumizi na mauzo, Kukupa Elimu kuhusu Ufugaji wa Kuku ,Kupata ripoti kuhusu ufugaji wa Kuku na uzuri wake ni rahisi mno kutumia,Inatumia lugha ya Kiswahili na ni bure Kwa sasa
Unaweza kuipakua kupitia Playstore au App store Kupitia Link hii hapa : Fuga App — Simamia Shamba Lako la Kuku kwa Urahisi
Pakua Fuga App leo Ufuge Kwa Faida na Kisasa zaidi