luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,160 Reaction score 21,676 Apr 26, 2016 #101 mapanga3 said: Moniccca utabeba lawama mpaka ukome Click to expand... malaya mkubwa sana yeye ndo anatembea na mme wa huyo dada sasa mbinu zake zimekamilika na atakufa kwa ukimwi.
mapanga3 said: Moniccca utabeba lawama mpaka ukome Click to expand... malaya mkubwa sana yeye ndo anatembea na mme wa huyo dada sasa mbinu zake zimekamilika na atakufa kwa ukimwi.
taikuny JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 1,207 Reaction score 715 Apr 26, 2016 #102 tracy martins said: Ajali kazini kaka Click to expand... Sawa ajali kazin ila ajal zingine za kizembe na kutokua makin
tracy martins said: Ajali kazini kaka Click to expand... Sawa ajali kazin ila ajal zingine za kizembe na kutokua makin
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,811 Reaction score 49,053 Apr 26, 2016 #103 Khee kwel mshahara wa dhambi ni mauti sasa bora mauti ya mwili ukazikwa kuliko mauti nyingine
Threesixteen Himself JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 8,233 Reaction score 8,022 Apr 26, 2016 #104 ! ! Watakuwa ni sisiem tu hao. Maana hawa jamaa kwa vituko wako poa sana.
N niah R I P Joined Sep 26, 2015 Posts 7,019 Reaction score 9,295 Apr 26, 2016 #105 moniccca said: Wewe unaedhani ni hadithi baki hivyo na utomaso wako. Click to expand... Vipi Moni umerudi toka fungate? Mbona hukuweka picha za harusi? Mwenzio kakupa fundisho kama hadithi ni ya kweli.
moniccca said: Wewe unaedhani ni hadithi baki hivyo na utomaso wako. Click to expand... Vipi Moni umerudi toka fungate? Mbona hukuweka picha za harusi? Mwenzio kakupa fundisho kama hadithi ni ya kweli.