OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Makambo simuoni!!! Hii nimemsaidia Zahera msiseme wa Simba tunachuki.
Bocco na Okwii sijawaona kwenye list pendwa.
Alisikika mlevi mmoja akisemamagoli ya penati za kubebwa na marefa. nusu ya magoli ya kagere ni penati
Na kisaikolojia inasadikika walevi hua na uwezo wa kusema ukweli kuzidi hata wacha Mungu....hahaaaAlisikika mlevi mmoja akisema
Rage hakukosea kuwaita Mikia Mbumbumbu hesabu zinaruka kutoka 18 mpaka 16.Makambo simuoni!!! Hii nimemsaidia Zahera msiseme wa Simba tunachuki.
Bocco na Okwii sijawaona kwenye list pendwa.
Namuona Mavugo
Ni mavungo au mavugo?Duh Mavugo bado ni [emoji91] asee
Tunaofuatilia league za Afrika huyo ni Laudit Mavugo aliyekuwa SimbaNi mavungo au mavugo?
YeahIna maana huyo kikongwe ndiye anayeongoza kwa kufunga magoli mengi Africa? huo itakua ni mtandao wa mikia tu.
Alisikika mlevi mmoja akisema
Hakuna wa Yanga aliyeongoza TZ.Hiyo list Itakuwa imenunuliwa na simba,haiwezekani Yanga isiwemo....
Jinga la mwisho ni wewe, sasa mjinga hiyo orodha ni ya wafungaji wanao ongoza kila nchi hawashindani kuorodhesha magoli toka moja hadi Mia moja jinga kweli kweliRage hakukosea kuwaita Mikia Mbumbumbu hesabu zinaruka kutoka 18 mpaka 16.