Wafungaji bora Africa,Meddie Kagere aongoza

Wafungaji bora Africa,Meddie Kagere aongoza

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_2019-05-28-08-59-59~2.png
 
Ina maana huyo kikongwe ndiye anayeongoza kwa kufunga magoli mengi Africa? huo itakua ni mtandao wa mikia tu.
Alisikika mlevi mmoja akisema
 
Hiyo list Itakuwa imenunuliwa na simba,haiwezekani Yanga isiwemo....
 
Rage hakukosea kuwaita Mikia Mbumbumbu hesabu zinaruka kutoka 18 mpaka 16.
Jinga la mwisho ni wewe, sasa mjinga hiyo orodha ni ya wafungaji wanao ongoza kila nchi hawashindani kuorodhesha magoli toka moja hadi Mia moja jinga kweli kweli
 
Back
Top Bottom