Wafungaji E.P.L

Wafungaji E.P.L

isackkallindi

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
25
Reaction score
21
Kiukweli E.P.L Sasa Imefikia Pazuri Jana Watu Kama Kane Na Aguero Wametupia Wote Na Kufikisha Jumla Ya Goli 20 Kila Mmoja Kwa Upande Wangu Naona Kane Atachukua Kiatu Cha Mfungaji Bora Pale E.P.L Kwa Sababu Ana Wastani Mzuri Wa Kutupia Kuliko Aguero Wewe Je?
 
Usishangae Mwisho wa siku Giroud akakichukua
 
Back
Top Bottom