isackkallindi
Member
- Jan 10, 2014
- 25
- 21
Kiukweli E.P.L Sasa Imefikia Pazuri Jana Watu Kama Kane Na Aguero Wametupia Wote Na Kufikisha Jumla Ya Goli 20 Kila Mmoja Kwa Upande Wangu Naona Kane Atachukua Kiatu Cha Mfungaji Bora Pale E.P.L Kwa Sababu Ana Wastani Mzuri Wa Kutupia Kuliko Aguero Wewe Je?