GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,241
- 3,800
Yaani mambo mengine ni ya kikuda sana.
Wajumbe ambao ni wapiga kura wa kesho wanalalamika vyumba walivyofungiwa ni vidogo sana hivyo hewa haipiti na kupelekea kuwa na joko kaki sana. Na bahati mbaya kuna giza nene kwenye vyumba hivyo baada ya umeme kuwa umekatika.
Pia wanahoji kwanini hawapohuru na simu zao.
Mjumbe mmoja mwenye pumu alisikika akisema "nakufa nakufa nifungulie japo kidogo nikapate hewa nje". Ila alisikitishwa na jibu. Lililotoka gizani "komaa kamanda".
Alaaaaaaaah!