Timu Lisu ni watu wabaya sanaYaani mambo mengine ni ya kikuda sana.
Wajumbe ambao ni wapiga kura wa kesho wanalalamika vyumba walivyofungiwa ni vidogo sana hivyo hewa haipiti na kupelekea kuwa na joko kaki sana. Na bahati mbaya kuna giza nene kwenye vyumba hivyo baada ya umeme kuwa umekatika.
Pia wanahoji kwanini hawapohuru na simu zao.
Mjumbe mmoja mwenye pumu alisikika akisema "nakufa nakufa nifungulie japo kidogo nikapate hewa nje". Ila alisikitishwa na jibu. Lililotoka gizani "komaa kamanda".
Alaaaaaaaah!
wengine ndio wanafunguliwa muda huu na Lema,Yaani mambo mengine ni ya kikuda sana.
Wajumbe ambao ni wapiga kura wa kesho wanalalamika vyumba walivyofungiwa ni vidogo sana hivyo hewa haipiti na kupelekea kuwa na joko kaki sana. Na bahati mbaya kuna giza nene kwenye vyumba hivyo baada ya umeme kuwa umekatika.
Pia wanahoji kwanini hawapohuru na simu zao.
Mjumbe mmoja mwenye pumu alisikika akisema "nakufa nakufa nifungulie japo kidogo nikapate hewa nje". Ila alisikitishwa na jibu. Lililotoka gizani "komaa kamanda".
Alaaaaaaaah!
Tupate salamu kutoka kwa mwenyekiti king'ang'aniziKwani kuna nini huko daslam...π€
Yaani zoezi lifungwe saa 10 huku wengine hawana vitambulisho?wengine ndio wanafunguliwa muda huu na Lema,
walifungiwa tangu jana walipomaliza press conference na Lema eti ndio wamefuata vitambulisho muda huu zoezi ambalo lilifungwa tangu saa 10 jioni π
kikanuni zoezi la usajili na utoaji wa vitambulisho ni sharti ukamilike siku moja kabla ya siku ya uchaguzi.Yaani zoezi lifungwe saa 10 huku wengine hawana vitambulisho?
Mbowe = ccm