mkuu mimi bado sijaelewa unachokizungumza na mahakama kuwafunga hao mabinti ila najiulizaga maswali
1.kuna mitaa maarufu hapa ambapo kuna nyumba....kama kwa wahaya wale huwa hawakamatwi hata siku moja maeneo wanayoishi ni tandika,manzese,buguruni,kigamboni na mwananyamala kote kwa wahaya....lakini hawakamatwi
2.kuna danguro moja lipo sinza mugabe linaitwa fontonela polisi huwa hawaendi pale hata siku moja
3.kuna sehemu inaitwa jolly club pale machangudoa wameruhusiwa kabisa na huwa hawakamatwi