Wafungwa miaka 10 kwa kufuja pesa za uzeeni Uganda

Wafungwa miaka 10 kwa kufuja pesa za uzeeni Uganda

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Maafisa watatu wa vyeo vya juu nchini Uganda wame hukumiwa kifungo cha miaka 10 gerezani kwa ufujaji wa karibu Dola milioni ishirini na tano,kutoka hazina ya malipo ya uzeeni.

Mahakama moja mjini Kampala imewapata maafisa hao na makosa ya kuelekeza malipo ya uzeeni ya zaidi ya watu elfu mbili, katika akaunti zao za kibinafsi.

Mahakama hiyo aidha imesema watatu hao wanaweza kukata rufaa dhidi ya huku hiyo. Maafisa wengine watano wa vyeo vya chini katika hazina hiyo ya uzeeni, pia wanatarajiwa kushtakiwa wa makosa sawia na hayo.

Chanzo: BBC
 
[emoji106][emoji106][emoji106] kumbe haihitaji mahakama ya mafisadi,

Hapa bongo tunaremba nn
 
Mahakama ya ufisadi haina kesi hata MOJA na nchi inanuka ufisadi.
Bora nikajinywee [HASHTAG]#mataputapu[/HASHTAG]
 
Si kuna kesi tumezisikia za mabilioni kwa watmishi wa umma pale kisutu si wazihamishie huko sasa ktk mahakama ya 😀😀mafisadi!!😱😱
 
Back
Top Bottom