Hasira za nini bibie?? Punguza ghadhabu halafu jifunze kutofautisha utani wa kimchezo na kushambulia mtu kibinafsi.
Nilikuwa sijui kuwa kuna kutamanishana kutambuana kiusomi humu, maana hunijui sikujui sasa sijui elimu yangu imeingiaje katika utani wa Simba na Yanga. Halafu simu yangu, bundle langu wewe ni nani hasa mpaka nijali kama unanitambua au la??
Endelea kusomea unesi wako uje kusafisha vidonda acha ushabiki wa mpira ambao ni wazi huuwezi maana unaleta personal attacks na chuki.
Maisha mafupi mno kuchukulia kila kitu serious.
Unless huwa unalawitiwa kupelekea comment yangu kutonesha kidonda.
Siku zote huchukua mjinga mmoja kumtambua mwingine. Hivyo mjinga mwenzangu umenitambua.