Wafungwa wafika bei, kwa hiyo watafungwa 4 na tatu ni za manywele

Dah
 
Nachojua mimi Yanga haina hiyo quality inayoimbwa mitandaoni kila kukicha,bali zinatengenezwa data za kupikwa ili ivutie wawekezaji!,ndio maana inapokuja nje ya Tanzania maji yanajitenga na mafuta
 
Nachojua mimi Yanga haina hiyo quality inayoimbwa mitandaoni kila kukicha,bali zinatengenezwa data za kupikwa ili ivutie wawekezaji!,ndio maana inapokuja nje ya Tanzania maji yanajitenga na mafuta
Unacho jua wewe
 
User name ni kama unatamani tukutambue na ka usomi uchwara fulani,lakini tatizo ukiwa utopolo akili huwa hakuna unatangaza ujinga wako hata kwenye id yako
Hasira za nini bibie?? Punguza ghadhabu halafu jifunze kutofautisha utani wa kimchezo na kushambulia mtu kibinafsi.

Nilikuwa sijui kuwa kuna kutamanishana kutambuana kiusomi humu, maana hunijui sikujui sasa sijui elimu yangu imeingiaje katika utani wa Simba na Yanga. Halafu simu yangu, bundle langu wewe ni nani hasa mpaka nijali kama unanitambua au la??

Endelea kusomea unesi wako uje kusafisha vidonda acha ushabiki wa mpira ambao ni wazi huuwezi maana unaleta personal attacks na chuki.

Maisha mafupi mno kuchukulia kila kitu serious.
Unless huwa unalawitiwa kupelekea comment yangu kutonesha kidonda.

Siku zote huchukua mjinga mmoja kumtambua mwingine. Hivyo mjinga mwenzangu umenitambua.
 
We ni mpumbavu

Yanga akishinda kanunua Ila simba akishinda uwezo.

Hivi toka 2019 simba kapewa kiasi gani na yanga ili awe anafumuliwa Malinda tu?
Toka 2019 Simba hajawahi mfunga yanga? Kumbe Simba mazuzu
 
Dem hizi shughuli za kiume tuachie wanaume wenyewe, sawasawa?
 
Nyie mkifungwa inakua mpira una matokeo matatu,
Wengine wakifungwa inakua ni magoli ya mchongo.

Tatizo boss wenu anadhamini sana timu pinzani ndo mana watu wana doubts na gsm!!...namungo,coastal,singida,prison wote hao wanavaa chapa gsm ..hapo fair play iko wapi,??
 
Tatizo boss wenu anadhamini sana timu pinzani ndo mana watu wana doubts na gsm!!...namungo,coastal,singida,prison wote hao wanavaa chapa gsm ..hapo fair play iko wapi,??
Simba hamvai chapa gsm ila mmefungwa na yanga.
Je simba mmepokea bahasha??
 
Tatizo boss wenu anadhamini sana timu pinzani ndo mana watu wana doubts na gsm!!...namungo,coastal,singida,prison wote hao wanavaa chapa gsm ..hapo fair play iko wapi,??
vipi Azam aliedhamimi vilabu vyote na anapa pesa?
 
Unateswa na historia yako!Saikolojia yako imeshaarika na kilichoujaza moyo wako.
Mara zote mtu hutukana kile anachofanyiwa ama kufanya mwenyewe
 
Unateswa na historia yako!Saikolojia yako imeshaarika na kilichoujaza moyo wako.
Mara zote mtu hutukana kile anachofanyiwa ama kufanya mwenyewe
Nani zaidi wa kujua historia na saikolojia yangu zaidi yako wewe niliekutoa utepe wa kalio.
 
We ni mpumbavu

Yanga akishinda kanunua Ila simba akishinda uwezo.

Hivi toka 2019 simba kapewa kiasi gani na yanga ili awe anafumuliwa Malinda tu?
Hili swali linapima uwezo wa kufikiri kwa watz wengi.Wengi wanakwepa kulijibu
 
Naona mnacheza na ndugu zenu, nyie wenzetu mnakubaliana tu kama mlivyo kubaliana kwa Mgunda.
 
Yanga watachukua ubingwa miaka 10 mfurulizo kama mtaendelea kujidanganya na hizi ngonjera unaona kabisa timu yako mbovu akikosekana mchezaji mmoja inakua msiba ngoja tusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…