Simba hamvai chapa gsm ila mmefungwa na yanga.
Je simba mmepokea bahasha??
vipi Azam aliedhamimi vilabu vyote na anapa pesa?
haki za matangazo sio udhamini? wewe ni kilaza bahati mbaya hujitambuiAzam kanunua haki ya matangazo ya ligi acha ujinga mzee,we unaona kuna timu tofauti na azam inavaa chapa ya azam??
Kufungwa baada ya kuhongwaKwani tunazungumzia kufungwa au kuhonga?
haki za matangazo sio udhamini? wewe ni kilaza bahati mbaya hujitambui