Wafungwa waliomaliza vifungo vyao Gereza la Mkono (Morogoro) wadaiwa kukwama kurudi kwao licha ya kumaliza vifungo

Wafungwa waliomaliza vifungo vyao Gereza la Mkono (Morogoro) wadaiwa kukwama kurudi kwao licha ya kumaliza vifungo

DodomaTZ

Member
Joined
May 20, 2022
Posts
84
Reaction score
118
Raia wakigeni kutoka nchini Ethiopia waliomaliza vifungo vyao katika gereza la mkono wa Mara mkoani Morogoro wamekwama kurejea makwao baada ya kukosa msaada wa kusafirishwa.

Mkuu wa gereza la Mkono wa Mara mkoani Morogoro, TADEO MGALLA amesema raia hao ambao walimaliza vifungo vyao tangu mwaka 2019 wamekuwa wakiigharimu Serikali kwa kuwa awazalishi chochote gerezani hapo.
 
Sasa si wakodiwe basi au hata fuso wapelekwe kwao.
 
Wanaendelea kutafuna Kodi za Watanzania. Je? Wizara ya Mambo ya nje inawajibikaje mbona haichukui hatua tangu 2019. Ni nani katuroga? Hapo utaikuta Karibu Mkuu analalamika,pia Waziri analalamika.
 
Back
Top Bottom