David Mgeni
Senior Member
- Aug 4, 2020
- 104
- 138
Huenda sina sijajua jamii inayonizunguka inachukuliaje ila nyota ya upepo inanibebaShotiiieee
Vipi zile tabia za gubu, kisirani mixer "inferiority complex " za kutosha we huna?
Anyways ufupi na urefu utategemeana na umesimama na nani..
Probably 4 to 5Ufupi unaanzia feet ngapi?
Af mbona mukide, kwenye kitanda chochote mnafit fresh tu. No kijikunjaProbably 4 to 5
hahahaAf mbona mukide, kwenye kitanda chochote mnafit fresh tu. No kijikunja
Mnakidhi vigezohahaha
Shotiiieee
Vipi zile tabia za gubu, kisirani mixer "inferiority complex " za kutosha we huna?
Anyways ufupi na urefu utategemeana na umesimama na nani..
Females ndio mnaongoza kwa ufupi hapa bongo, sijui kwa nn!!Kuna watu ni wafupi yani ni ile wafupi hata ukimuona unaona ni mfupi kweli kweli
Afu ukute ni mfupi afu kavaa dera jekundu.... utadhani mtungi wa gas ya OryxKuna watu ni wafupi yani ni ile wafupi hata ukimuona unaona ni mfupi kweli kweli
Na pia inategemea umevaa viatu gani...Shotiiieee
Vipi zile tabia za gubu, kisirani mixer "inferiority complex " za kutosha we huna?
Anyways ufupi na urefu utategemeana na umesimama na nani..
π π π jamani.Na pia inategemea umevaa viatu gani...
Maana ukute kafupi afu kamevaa slippers ... ukipishana nako kakiwa kanavuta sigara utadhani umepishana na mtungi wa fire extinguisher
Habari wanajukwaa ,Natumaini mko salama kiafya ,kimwili mpaka kifikra lengo la uzi huu ni kutiana moyo pia kufarijiana kwa sisi wenye kimo kidogo kuliko wengine(wafupi) kwa upande wangu huwa naghafilika ninapoonekana ni mdogo kumbe ni mtu mzima kisa tu ni mfupi mfano utashangaa kwenye daladala naambiwa wewe dogo leta nauli !Wewe je unapata changamoto gani juu ya kimo chako NB:UFUPI SIO KILEMA
Weka kapicha, andunje! π πHabari wanajukwaa ,Natumaini mko salama kiafya ,kimwili mpaka kifikra lengo la uzi huu ni kutiana moyo pia kufarijiana kwa sisi wenye kimo kidogo kuliko wengine(wafupi) kwa upande wangu huwa naghafilika ninapoonekana ni mdogo kumbe ni mtu mzima kisa tu ni mfupi mfano utashangaa kwenye daladala naambiwa wewe dogo leta nauli !Wewe je unapata changamoto gani juu ya kimo chako NB:UFUPI SIO KILEMA
Ufupi uliopitoliza, urefu uliopitiliza vyote in abnormal condition.Hata urefu hauna faida labda marekani na ulaya(NBA,WBA,riadha, Movie).Kitu chenye umuhimu kwa MTU ni AKILI.Vichina vijapan,vikorea vijitu vifupi na mwili mdogo kuliko sisi Waafrka lakini vinatuzidi akili kila kitu vinatuundia vyenyewe ni ujinga kuamini katika urefu na miguvu.Dunia haitaji miguvu Bali akili.Huwa naumia sana kuona Waafrika tuna akili duni, mpaka Leo tunatumia jembe la mkono kisa tuna nguvu hatuna akili.Nimetoka nje ya mada sort.Habari wanajukwaa,
Natumaini mko salama kiafya, kimwili mpaka kifikra lengo la uzi huu ni kutiana moyo pia kufarijiana kwa sisi wenye kimo kidogo kuliko wengine (wafupi) kwa upande wangu huwa naghafilika ninapoonekana ni mdogo kumbe ni mtu mzima kisa tu ni mfupi mfano utashangaa kwenye daladala naambiwa wewe dogo leta nauli. Wewe je unapata changamoto gani juu ya kimo chako
NB:UFUPI SIO KILEMA
Ila wanazaa mijitu ya miraba minne.Mama zetu wa kiafrika wanamaajabu sana.Nikimuangalia mama yangu,bibi yangu nashangaa wamewezaje kuzaa majitu ya miraba minneFemales ndio mnaongoza kwa ufupi hapa bongo, sijui kwa nn!!