Wafupi forum!

Wafupi forum!

David Mgeni

Senior Member
Joined
Aug 4, 2020
Posts
104
Reaction score
138
Habari wanajukwaa,

Natumaini mko salama kiafya, kimwili mpaka kifikra lengo la uzi huu ni kutiana moyo pia kufarijiana kwa sisi wenye kimo kidogo kuliko wengine (wafupi) kwa upande wangu huwa naghafilika ninapoonekana ni mdogo kumbe ni mtu mzima kisa tu ni mfupi mfano utashangaa kwenye daladala naambiwa wewe dogo leta nauli. Wewe je unapata changamoto gani juu ya kimo chako

NB:UFUPI SIO KILEMA
 
Shotiiieee
Vipi zile tabia za gubu, kisirani mixer "inferiority complex " za kutosha we huna?

Anyways ufupi na urefu utategemeana na umesimama na nani..
Huenda sina sijajua jamii inayonizunguka inachukuliaje ila nyota ya upepo inanibeba
 
Shotiiieee
Vipi zile tabia za gubu, kisirani mixer "inferiority complex " za kutosha we huna?

Anyways ufupi na urefu utategemeana na umesimama na nani..

Kuna watu ni wafupi yani ni ile wafupi hata ukimuona unaona ni mfupi kweli kweli
 
Shotiiieee
Vipi zile tabia za gubu, kisirani mixer "inferiority complex " za kutosha we huna?

Anyways ufupi na urefu utategemeana na umesimama na nani..
Na pia inategemea umevaa viatu gani...

Maana ukute kafupi afu kamevaa slippers ... ukipishana nako kakiwa kanavuta sigara utadhani umepishana na mtungi wa fire extinguisher
 
Kuitwa dogo inaweza haisababishwi na ufupi tu bali hata muonekano was sura yako.
Kuna watu ni wafupi lakini wana sura zilizokomaa na kuna watu ni wafupi ila wana baby face
Habari wanajukwaa ,Natumaini mko salama kiafya ,kimwili mpaka kifikra lengo la uzi huu ni kutiana moyo pia kufarijiana kwa sisi wenye kimo kidogo kuliko wengine(wafupi) kwa upande wangu huwa naghafilika ninapoonekana ni mdogo kumbe ni mtu mzima kisa tu ni mfupi mfano utashangaa kwenye daladala naambiwa wewe dogo leta nauli !Wewe je unapata changamoto gani juu ya kimo chako NB:UFUPI SIO KILEMA
 
Weka kapicha, andunje! 😀 😀
ila nasikia mna faida zenu kama:
Jua linachelewa kuwafikia
Mvua inachelewa kuwafikia
nyie ni warefu kwenda chini

The five surprising health benefits of being short
  1. Being short carries a reduced risk of cancer. ...
  2. Being short means you're less likely to develop blood clots. ...
  3. If you are short, you are likely to live longer. ...
  4. Short people are less likely to encounter stressful situations. ...
  5. Being short puts you at lower risk of heat exhaustion or sun stroke.
The five surprising health benefits of being short
 
😎😎😎^_^ nisemeni 2 ila nikimkamata mtu Hana chake
 
Habari wanajukwaa,

Natumaini mko salama kiafya, kimwili mpaka kifikra lengo la uzi huu ni kutiana moyo pia kufarijiana kwa sisi wenye kimo kidogo kuliko wengine (wafupi) kwa upande wangu huwa naghafilika ninapoonekana ni mdogo kumbe ni mtu mzima kisa tu ni mfupi mfano utashangaa kwenye daladala naambiwa wewe dogo leta nauli. Wewe je unapata changamoto gani juu ya kimo chako

NB:UFUPI SIO KILEMA
Ufupi uliopitoliza, urefu uliopitiliza vyote in abnormal condition.Hata urefu hauna faida labda marekani na ulaya(NBA,WBA,riadha, Movie).Kitu chenye umuhimu kwa MTU ni AKILI.Vichina vijapan,vikorea vijitu vifupi na mwili mdogo kuliko sisi Waafrka lakini vinatuzidi akili kila kitu vinatuundia vyenyewe ni ujinga kuamini katika urefu na miguvu.Dunia haitaji miguvu Bali akili.Huwa naumia sana kuona Waafrika tuna akili duni, mpaka Leo tunatumia jembe la mkono kisa tuna nguvu hatuna akili.Nimetoka nje ya mada sort.
 
Females ndio mnaongoza kwa ufupi hapa bongo, sijui kwa nn!!
Ila wanazaa mijitu ya miraba minne.Mama zetu wa kiafrika wanamaajabu sana.Nikimuangalia mama yangu,bibi yangu nashangaa wamewezaje kuzaa majitu ya miraba minne
 
Maduka ya viatu na nguo za watoto nawanaonaga sana watu wafupi huwa mnafata nini?
 
Back
Top Bottom