Wafupi ni wastarabu pia magenious

Wafupi ni wastarabu pia magenious

Dulayo tz

Member
Joined
Mar 7, 2018
Posts
11
Reaction score
3
Uzoefu wangu nimeona kuwa watu wafupi walio wengi ni Magenious pia wanaustaarabu wa kuzaliwa nao

Toa maoni yako tuone kama na ww umewahi kukutana na kundi hilo
 
hatuhitaji uzoefu wako katika hili bali utafiti,.....
 
Sio kweli, kila mtu anakitu ndani yake Mungu alichomjali, shida ni kutambua na kujua kutumia vipawa

Acha Majungu nimeelewa ujumbe huu unakusudia nini?
 
Sasa kama wewe ni andunje ulitegemea utatoa majibu yenye kuwaumiza.

Acheni kujifariji maandunje, hebu nitajie andunje genius tofauti na Liquid.

[emoji38] [emoji38]
 
Asante kwa mtazamo lakini sijawaza vibaya nikuondoe shaka kwa hilo
Sio kweli, kila mtu anakitu ndani yake Mungu alichomjali, shida ni kutambua na kujua kutumia vipawa
Acha Majungu nimeelewa ujumbe huu unakusudia nini?
 
Sawa hakuna ubaya! Ngoja tuone maoni ya wadau? Pamoja Ndugu
 
Tunahitaji useme ni kwa kiwango gani umewahi kukutana na watu wafupi ambao ni wastaarabu na mageneous in nature sio kejeli
Sasa kama wewe ni andunje ulitegemea utatoa majibu yenye kuwaumiza.
Acheni kujifariji maandunje, hebu nitajie andunje genius tofauti na Liquid.
[emoji38] [emoji38]
 
Mkuu liquid ni genius wa nn[emoji23][emoji23]
Sasa kama wewe ni andunje ulitegemea utatoa majibu yenye kuwaumiza.

Acheni kujifariji maandunje, hebu nitajie andunje genius tofauti na Liquid.

[emoji38] [emoji38]
 
Ndio maana Zakayo aliweza kumshawishi Masihi kuingia nyumbani kwake.
 
Back
Top Bottom