Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Ebwana heee!! Awajama wanapenda sifa bwana kama mnavyojuwa timu yao ya taifa imeishafuzu kwa point 13 kiasi kwamba ata tukishinda au lesotho kushinda atuwezi isogelea kileleni ata kidogo.
Ajabu sasa timu imeweka kambi misri nakama haitoshi wamecheza na mechi ya kirafiki yani utafikili wanakwenda kucheza mechi ya ufunguzi world cup.
Leo sasa nikiwa mpakani mtukula jamaa wamekodi basi nne za friends full bendera ya taifa full vuvuzela eti wanakuja dar kushangilia timu.Sasa najiuliza hii mijamaa inamalengo gani na sisi mpaka watufanyie hivi? au labda kunasehemu tuliwakwaza tukawaombe samahani ata kesho kabla ya mechi?.