Smatta JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 2,348 Reaction score 733 Jul 13, 2011 #21 Hapa si bishi, Waganda na Wabongo hio ndo kazi. endeleeni hivyo hivyo aise, wacha sie tunywe pombe mpaka kusimama iwe shida
Hapa si bishi, Waganda na Wabongo hio ndo kazi. endeleeni hivyo hivyo aise, wacha sie tunywe pombe mpaka kusimama iwe shida
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Jul 13, 2011 #22 Bujibuji said: Yaani Tz hamna tunacho ongoza. Michezo wa mwisho, uongozi bora, wa mwisho, siasa safi wa mwisho.... Yaani hata ku duuu sisi ni wa pili kutoka mwisho!!!!!! Click to expand... hahahaa loh! Nimeipenda hii!
Bujibuji said: Yaani Tz hamna tunacho ongoza. Michezo wa mwisho, uongozi bora, wa mwisho, siasa safi wa mwisho.... Yaani hata ku duuu sisi ni wa pili kutoka mwisho!!!!!! Click to expand... hahahaa loh! Nimeipenda hii!
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Jul 13, 2011 #23 wabongo tuandamane kwa kweli....
Ballerina JF-Expert Member Joined Jun 2, 2011 Posts 386 Reaction score 187 Jul 13, 2011 #24 Mi nilidhani tutaongoza kwani hata maofisini tu wavivu kiasi fulani...................sasaaa.......dah!.........wapi tu wachakarikaji?
Mi nilidhani tutaongoza kwani hata maofisini tu wavivu kiasi fulani...................sasaaa.......dah!.........wapi tu wachakarikaji?