Waganda wafukuza Watanzania 200 kutoka Migingo, wanaishi sasa kama wakimbizi Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kisiwa cha Migingo ambacho huwa kiini cha ugomvi baina ya Kenya na Uganda hakiishi vituko, sasa maaskari wa Uganda wamezunguka kote na kuwakusanya Watanzania waliokua wanavua samaki na kuishi kinyemela na kuwafukuza, hao Watanzania 200 wamepata hifadhi ya ukimbizi kwenye kisiwa kingine cha karibu kinachomilikiwa na Wakenya.

Hawa hapa baadhi ya hao Watanzania 200

1767281.jpg

Tanzanians who were evicted from Migingo Island by Uganda authorities sheltering at an island manned by Kenyan authorities. /COURTESY

Tension is high at the disputed Migingo Island after Ugandan security officers evicted Tanzanian citizens from the area.

A source at the Island told Star more than 200 Tanzanians are stranded after the eviction that is likely to ruin diplomatic relations between the two East African countries.

They are sheltering at another nearby island, 50 metres from Migingo, where the Kenyan security and Fisheries base is located.

"The harassment of Tanzanian citizens by Ugandan police has been rife for the last three months. The Ugandan police say Migingo Island belongs to Uganda and that Tanzanians are unwelcome," the source, who sought anonymity for security reasons, said.

The source disclosed that Ugandan authorities started the evictions after Tanzanian fisheries authorities halted their patrol in Lake Victoria, especially areas around Migingo.

The disputed island is manned by a joint security team from Kenya and Uganda.

Migingo Island is inhabited by Kenyans, Ugandans, Tanzanians and South Sudanese citizens engaging in fishing.

The water surrounding the tiny Island is rich in Nile Perch and has been a centre of dispute between Kenya and Uganda over the years.
Tension in Migingo as Ugandan police evicts 200 Tanzanian fishers
 
Acha watufukuze tu ili na sisi tupandwe kichaa tukumbuke kuwafukuza na wao!! Hivi vijinchi jirani vinapaswa kukumbushwa kuwa kuna Sleeping giant across,hivyo wanapopitapita wajichunge wasimwamshe.
 
hahaha...na wafukuzwe Kenya pia mara moja...itakuwaje wanatufukuza sisi wakenya na waganda kila uchao na wao wasifukuzwe? wanatuchomea vifaranga na kupiga mnada ng'ombe wetu ila omba omba wao wamejaa kote nairobi bila makaratasi...in some situations such as this one, diplomacy is irrelevant...wakamatwe leo walale ndani kisha wafululizwe makwao mara moja...Kenya pia sio shamba la bibi😀😀😀
 
Kila nchi ina haki ya kulinda mipaka yake na Rasimali zake, Kama kisiwa cha Migingo ni mali ya waganda au wakenya, sio ajabu watanzania wakifukuzwa. Tatizo kubwa ni kujua chanzo cha kufukuzwa. Kama watanzania na raia wengine wamekuwa wakiishi au kufanya shughuli zao kwa utaratibu wa ujirani mwema, nadhani sio busara kuwafukuza kama wavamizi. Hakuna sababu ya kutengeneza chuki na visa kati ya raia wa nchi zinazopakana.
 
Hizi dictator tacktics tuwaachie waganda na watanzania. Tuwapokee hao watz na kuwapa life jackets na ma blanketi na chai ya moto ya maziwa kisha tuwasafirishe hadi kisumu na kuwapa nauli ya kurudi Tz... tena baadaye tuwapigie simu kuhakikisha walifika salama.

Kama unapeleka gari alafu mwendeshaji babaji (piki piki) aje akupite mbio na kukuonyesha kidole cha katikati akikwambia huwezi kumshika, usianze kumfukuzana naye eti mnashindana ..... itakua unajishusha hadhi (utakua hauna tofauti na huyo mpeleka bajaji ambaye labda hata hakuenda shule) ... just let it go.

Tukianza kuzoea kufanya tit for tat na hawa majirani wengine, itakua tunajishusha hadhi kama wakenya..its not worth the effort. We are a country that welcomes anyone in need of refuge, awe ametoka DRC, Rwanda, south sudan, somalia, eritrea, Ethiopia. ..etc.. Lets not punish innocent tanzanians for something that was done by political elit sitting pretty in Dodoma or Dar
 
Kuzamia nchi nyingine ni kosa kisheria. Wakifukuzwa ni sawa.
 
You try to make us believe that you are a such good person.
 
Kama wakithibitika ni watanzania, warudi Tanzania kipambana na maisha. Lakini kwanza uthibitisho pasipo mashaka ni muhimu, maana kuna watu wa nchi zingine wanapenda kujichomeka na kujiita watanzania kwa manufaa yao wenyewe.
 
Acha watufukuze tu ili na sisi tupandwe kichaa tukumbuke kuwafukuza na wao!! Hivi vijinchi jirani vinapaswa kukumbushwa kuwa kuna Sleeping giant across,hivyo wanapopitapita wajichunge wasimwamshe.
True
 
Sio watanzania hao!
Uwongo mtupu!
 
Hizi dictator tacktics tuwaachie waganda na watanzania. Tuwapokee hao watz na kuwapa life jackets na ma blanketi na chai ya moto ya maziwa kisha tuwasafirishe hadi kisumu na kuwapa nauli ya kurudi Tz... tena baadaye tuwapigie simu kuhakikisha walifika salama.

Kama unapeleka gari alafu mwendeshaji babaji (piki piki) aje akupite mbio na kukuonyesha kidole cha katikati akikwambia huwezi kumshika, usianze kumfukuzana naye eti mnashindana ..... itakua unajishusha hadhi (utakua hauna tofauti na huyo mpeleka bajaji ambaye labda hata hakuenda shule) ... just let it go.

Tukianza kuzoea kufanya tit for tat na hawa majirani wengine, itakua tunajishusha hadhi kama wakenya..its not worth the effort. We are a country that welcomes anyone in need of refuge, awe ametoka DRC, Rwanda, south sudan, somalia, eritrea, Ethiopia. ..etc.. Lets not punish innocent tanzanians for something that was done by political elit sitting pretty in Dodoma or Dar

Dah kule kwao huwa wanasema vyuma vimekaza, yaani raundi hii Watanzania wanateseka maana ndani hakukaliki na wakitoka nje hawapokelewi kwa sababu utawala wao wa sasa umeamsha visasi na mataifa jirani. Anyway tuendelee kuwahifadhi na kuwasaidia kupata njia rahisi ya kurudi kwao wakapambane tu huko huko maana Mganda hataki kuskia habari zao.
 
hahaha...na wafukuzwe Kenya pia mara moja...itakuwaje wanatufukuza sisi wakenya na waganda kila uchao na wao wasifukuzwe? wanatuchomea vifaranga na kupiga mnada ng'ombe wetu ila omba omba wao wamejaa kote nairobi bila makaratasi...in some situations such as this one, diplomacy is irrelevant...wakamatwe leo walale ndani kisha wafululizwe makwao mara moja...Kenya pia sio shamba la bibi😀😀😀
We jamaa wewe. Acha hasira. Sote ni ndugu. Au unataka nifukuze hii dada yako ambayo iko na mm kwa keja moja.
 
hakuna cha undugu...hakuna undugu kati ya ke na tz...hizo ni ndoto za almasi
 
Dah kule kwao huwa wanasema vyuma vimekaza, yaani raundi hii Watanzania wanateseka maana ndani hakukaliki na wakitoka nje hawapokelewi kwa sababu utawala wao wa sasa umeamsha visasi na mataifa jirani. Anyway tuendelee kuwahifadhi na kuwasaidia kupata njia rahisi ya kurudi kwao wakapambane tu huko huko maana Mganda hataki kuskia habari zao.
Hivi M7 and JPM si marafiki hawa!?
 
Hata kama watanzania wameonewa Itabidi tukae kimya tu wasije kufuta mradi wa Bomba la mafuta na kuhamishia kenya
 
Back
Top Bottom