Waganda waiga Watanzania kuleta wenye hela zao kutibiwa hospitali ya Nairobi, Kenya

Kwa hiyo mna dawa ya korona?
 
Hahahaha, hahahaha, wakenya pia wamo humo
Mbona sijaskia Kama Kenya imetajwa hapo? You are so desperate man😂😂😂. Ukinitajia Mkenya yeyote tofauti na wale was border ambaye alienda kupata matibabu Tanzania I promise you that you will never see me in this thread again.
 
Mbona sijaskia Kama Kenya imetajwa hapo? You are so desperate man[emoji23][emoji23][emoji23]. Ukinitajia Mkenya yeyote tofauti na wale was border ambaye alienda kupata matibabu Tanzania I promise you that you will never see me in this thread again.
Eti mnashindana na Tanzania, mavi ya kuku
 
Eti mnashindana na Tanzania, mavi ya kuku
Ndio maana huwa nakuambia una IQ ndogo, nimekuambia usiniletee watu wa border cause most of them are Tanzanians wenye wanajiita wakenya. Wakati Magufuli anatoka all the way from Dar to Nairobi wewe unaniletea mtu wa kutembea kwa miguu akienda dispensary kupewa dawa ya pain killer😂😂 Let give you another example, Rose Muhando alipoona hakuna hospitali yoyote Tanzania ambayo inaezamsadia alikuja Kenya kutibiwa.
 
Eti mnashindana na Tanzania, mavi ya kuku
List of Tanzanians coming to Kenya for treatment.

President Magufuli
Opposition leader - Tundu Lissu
Professors i.e Mundosyia
Ministers
Celebrities - Rose Muhando.
The rich and the middle class.

List of Kenyans coming to Tanzania to be treated.

Tanzanians calling themselves Kenyans.
 

Siku ukifaulu kuwa Mkenya utaacha uzembe wa kusoma taarifa kabla haujajibu....."Following a recurring dizziness, persistent abdominal discomfort and severe chest pain despite attending several medical facilities in Kampala including Lubaga Hospital, Platinum Hospital, Case Hospital, Norvik Hospital among others, Lukwago was referred to Nairobi Hospital for further management,"
 
Kenya ndio wanaongoza kufa kwa kipindu pindu hapa EAC
 
Mara wakenya wenzangu, mara wanawake kama wenu, msee are you kenyan tanzanian ama jus another kenyan wanabe
 
Hahahaha, hamuwezi ifikia Tanzania katika huduma bora za Afya, hapa Africa ni South Africa na Egypt pekee ndizo zinaweza pambana na Tanzania
 
Hahahaha, hamuwezi ifikia Tanzania katika huduma bora za Afya, hapa Africa ni South Africa na Egypt pekee ndizo zinaweza pambana na Tanzania
Magufuli, Tundu Lissu, Rose Muhando, Prof Mark Mundosyia etc knows very well that health system in Tanzania is the same with Somalia ndio maana walikuja kutafuta huduma Bora Kenya. The day any African leader will travel to Tanzania for treatment utujulishe tafadhali.
 
I don't think he has a comeback for that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…