Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
Mbona wanachagua kuja kenya na so Tanzanian kama issue ni security tu?Ila wakenya wezangu bana...tunajisifia vitu vya hovyo hovyo tuuu. Sasa mgonjwa kaja kutibiwa hapo nairobbers kuna ishu gani. Mbona ni jambo la kawaida sana nowdays... Wengine wanaenda kwa ajili ya security tu na sio kwamba kwao hakuna hosptal zinazoweza watibu.
Acheni umama maana mnaringa kama wanawake wetu hapa.
Msipokuwa wakubwa mtakua mnatwanga na wanawake wenu siku zote.