#COVID19 Waganda wanavyoteseka na lockdown. Mh Museveni ingilia kati mtakufa waganda

Hivi yule wa Kariakoo alikua lockdown.?
Huku mbona tunawabeba wagonjwa kwenye machela,baiskeli ,will barrow nk
Hadi maiti tunapokezana begani kutoka mortuary hadi nyumbani kwa marehemu fedha ya kukodi usafiri hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…