permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Huenda huyo Mkenya alikuwa anaimba ule wimbo wao unaosema " ..nikikupea utaweza..."Hapana, hatuwezi kutulia wakati kuna baadhi ya Jirani anazibuliwa chemba na Jirani mwenzetu, hii ni kinyume kabisa na mkataba wa EAC, hasa kwasababu wanaozibuana ni wanachama waanzilishi wa EAC, wangezibuliwa wanyarwanda au warundi, kidogo isingekua tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app