Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wewe huwezi kunikataza kuwa kamanda. Kwenda zako huko.Chadema haina magonjwa mtambuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huwezi kunikataza kuwa kamanda. Kwenda zako huko.Chadema haina magonjwa mtambuka
Najua hii ndio ajira yako lazima ukomaeHuo ndo ugonjwa mlionao, maana kila mtu anayefikiri tofauti na ninyi basi ni wa Lumumba. Ndio maana mkapewa lile jina la Wanyama mbumbumbu wanaoingia tu katika hatari bila tahadhari. Aliyewapa lile jina alitafakari sana, kweli akawatendea haki
Najua hii ndio ajira yako lazima ukomae
Siku hizi mnalipwa kwa post au kutwa???Kama wewe unavyofanya ajira yako ya kumfuta viatu Mtukufu Mwenyekiti wako wa kudumu
Siku hizi mnalipwa kwa post au kutwa???
Ata sijui uwa mnafikiria nini,afu nyie jf siwaelewi upuuzi uwa amfuti