Waganga 12 wajitokeza kupambana na "jini mahaba" linalomsumbua lady jaydee

Waganga 12 wajitokeza kupambana na "jini mahaba" linalomsumbua lady jaydee

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
[h=3]WAGANGA 12 WAJITOKEZA KUPAMBANA NA "JINI MAHABA" LINALOMSUMBUA LADY JAYDEE[/h]

WAGANGA wanaodai kuwa ni wataalam na wana uzoefu wa kupambana na jini mahaba linalomsumbua Mwanamuziki Judith Wambura ‘Lady Jaydee’, wamejitokeza huku kila mmoja akiomba apewe nafasi ya kumtibu bure.

Mmoja wa wataalam hao aliyejitambulisha kwa jina la Jumaa wa Magomeni, Dar alisema: “Nimesoma habari kuhusu Jide, mimi naweza kumtibu tena bure, mpe namba yangu na mwambie anipigie.”

Mwingine ambaye hakupenda jina lake liandikwe alisema:“Nimesikitika sana kusoma hii habari ya huyu msanii Lady Jaydee, kwa kifupi naweza kumtibia free of charge.”

Kufuatia maombi ya wataalam hao, mwandishi wetu alijitahidi kumtafuta Jide bila mafanikio lakini juzikati kupitia kipindi chake cha Diary ya Lady Jaydee alionekana akipewa matibabu na ustaadhi mmoja, mazingira yanayoashiria kuwa huenda mambo yametulia.

Asıpo pona aje kwangu nıtamtıbu mimi Mzizimkavu hauchimbwi Dawa. fewgoodman@hotmail.com
 
Hata mimi niliona kipindi hiki ila sikuwa nimefahamu reality yake nilifikiri ni maigizo.
 
Last edited by a moderator:
miracles of #13 never end. BTW, aje kwangu nitamaliza matatizo yake kwa muda mfupi, but she'l have to pay.

mmm! wewe unakuwa wa 14 mweeeeeh!
mpka kesho itbidi muhariri wa gazeti afanye editing ya habari hii.
 
Katka Jina la Yesu aliye hai Waganga washindwe
jina mahaba & mganga wapi na wapi
Waende wakatolewe kanisani buree
waganga satamfirisi hao ni waganga njaa mno.
 
Katk kipindi chake cha diary of lady Jd eatv November alidai kwamba amefunga na ni kawaida yake kufunga kila Nov kumrudia Mungu na kutubu dhambi..SASA kama ni mtu wa maombi kwa nin atafute wachawi kumtibu majin? Hajui kuna simba wa yuda?
 
Kwa hiyo Jide anakuwa hamuhitaji Gadner kiunyumba ama...
 
pepo hawezi kumtoa pepo mwenzake,waganga ni mapepo tu.
 
Kama ufalme mmoja utapingana wenyewe kwa wenyewe lazima utaanguka. Je Mganga na huyo Jini wapo katika falme tofauti??? Mwenye macho haambiwi tazama
 
Katk kipindi chake cha diary of lady Jd eatv November alidai kwamba amefunga na ni kawaida yake kufunga kila Nov kumrudia Mungu na kutubu dhambi..SASA kama ni mtu wa maombi kwa nin atafute wachawi kumtibu majin? Hajui kuna simba wa yuda?

...Hajawatafuta. Wanajipendekeza. Mjini Hapa! :-*
 
Katka Jina la Yesu aliye hai Waganga washindwe
jina mahaba & mganga wapi na wapi
Waende wakatolewe kanisani buree
waganga satamfirisi hao ni waganga njaa mno.
Kwani sikuhizi Yesu kawa mtoa majini?
 
Katk kipindi chake cha diary of lady Jd eatv November alidai kwamba amefunga na ni kawaida yake kufunga kila Nov kumrudia Mungu na kutubu dhambi..SASA kama ni mtu wa maombi kwa nin atafute wachawi kumtibu majin? Hajui kuna simba wa yuda?
Ana wajua simba wa yuda. Tatizo yuda mwenyewe hataki kutoa simba wake bila malipo
 
Juu ya swala la jini mahaba lady jay dee amejitia aibu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom