Waganga bwana!

Waganga bwana!

Agera 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
4,088
Reaction score
4,226
Waganga mahitaji yao bana eti;

1. Niletee mkojo wa chatu

2. Niletee jisho la kipofu mzee

3. Niletee kidevu cha mzee aliekufa na miaka 90

Ongezea na maneno uliowahi ambiwa na mganga
 
macho ya kuku jike tasa
firigisi za jogoo shoga
mbuzi jike mjane
kifaranga yatima
kondoo mchawi
 
Kitendo cha kuwaza kwenda kwa mgaga tu! Ujue wewe ni bonge ya kilaza!!!
 
ha ha msiende tena kwa waganga, kanisan hamna cha fisi shoga wala nini
 
Lete Sukari kilo 10½ maana kuku wamekuwa adimu siku hizi
 
Niletee Tembele kisamvu na majani ya kunde na unga wa dona, cjawah kumsikia mganga wa hivyo, wao huagizaga minyama nyama mara jogoo lililokomaa,mara mbuzi dume, na ukishindwa waambiwa umlete mbesai atatafuta yeye
 
Niletee beberu la kenge na jogoo la mjusi usisahau na ndevu za jongoo
 
Niletee matiti ya nyoka anaenyonyesha na firigisi za mbuzi jike.kama huwezi lete pesa me najua pa kuvipata
 
Back
Top Bottom