Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,518
- 10,839
Habari, wana-JF. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ningependa kujua waganga hutumia nini kutengeneza dawa zao? Mimi binafsi sijawahi kufika kwa mganga ila nimeshaona dawa wanazopewa watu kwaajili ya kujitibu au kutatua matatizo mbalimbali ambayo wanaamini waganga wanaweza kuwasaidia.
Dawa hizo mara nyingi huwa ni nyeusi, kitu kinachonipa maswali hizi dawa wanatumia vitu gani kutengeneza?
Najua JF ni jamii kubwa sana, hivyo naamini leo nitapata majibu ya maswali yangu juu ya Sayansi hii ya Mu-Afrika.
Mshana Jr