Dawa nyingi za waganga wa asili hazitibu kisayansi, namaanisha hazitumii kanuni za ki-kemia au ki-biologia, bali hutibu kwa kutumia nguvu za kiroho. Huwezi kutumia mti uliochomwa hadi kuwa mkaa ukapona kwani mkaa ni carbon na carbon huwa ni un-reactive, haiwezi kumeng'enywa na kuingia mwilini.Habari, wana-JF. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ningependa kujua waganga hutumia nini kutengeneza dawa zao? Mimi binafsi sijawahi kufika kwa mganga ila nimeshaona dawa wanazopewa watu kwaajili ya kujitibu au kutatua matatizo mbalimbali ambayo wanaamini waganga wanaweza kuwasaidia.
Dawa hizo mara nyingi huwa ni nyeusi, kitu kinachonipa maswali hizi dawa wanatumia vitu gani kutengeneza?
Najua JF ni jamii kubwa sana, hivyo naamini leo nitapata majibu ya maswali yangu juu ya Sayansi hii ya Mu-Afrika.
Mshana Jr
Unajua kwanini dawa za kienyeji/za waganga zinaitwa tiba za mitishamba? Ni kwa sababu assilimia 95 ya hizo dawa zinatokana na miti na mimeaHabari, wana-JF. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ningependa kujua waganga hutumia nini kutengeneza dawa zao? Mimi binafsi sijawahi kufika kwa mganga ila nimeshaona dawa wanazopewa watu kwaajili ya kujitibu au kutatua matatizo mbalimbali ambayo wanaamini waganga wanaweza kuwasaidia.
Dawa hizo mara nyingi huwa ni nyeusi, kitu kinachonipa maswali hizi dawa wanatumia vitu gani kutengeneza?
Najua JF ni jamii kubwa sana, hivyo naamini leo nitapata majibu ya maswali yangu juu ya Sayansi hii ya Mu-Afrika.
Mshana Jr
Habari, wana-JF. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ningependa kujua waganga hutumia nini kutengeneza dawa zao? Mimi binafsi sijawahi kufika kwa mganga ila nimeshaona dawa wanazopewa watu kwaajili ya kujitibu au kutatua matatizo mbalimbali ambayo wanaamini waganga wanaweza kuwasaidia.