Hakuna watu wanaokula ya mwanamke pesa kiulaini kama waganga na wachungaji🤣
Dah Leo nimeenda kwenye Misa moja hivi jioni ya jumuiya Sasa kwa yale magoti ambayo mchungaji alikuwa akipigiwa noma na wale wanawake ebwana Dah 🤔
Wanawake kwa wachungaji na waganga hawafui dafu mwanangu!
👉Nihitimishe tu Yani Laiti kama Ile adabu wanayoonyesha kwa waganga na wachungaji wangetuonyesha na sisi dunia ingekua sehemu salama sana!
Mtanisamehe Sikupiga picha maadili si ya Misa. (najua ushahidi kwa jf ni muhimu)