- Thread starter
- #21
Kwa hiyo kuna haja na sisi tuwe waganga, wachungaji majumbani kwetu
IGNORANCE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IGNORANCE
hajui izo mbisheNgumu kuamini Yesu alipiga mbuno kama hizo za mwamba.
🤣Ifike mahala Muache utapeli na ramli chonganishiInabidi utuheshimu sisi waganha tunachangia kustawi kwa uchumi wa nchi na mshikamano wa familia
Wafanyabiashara wote wanatutegemea sisi ili mambo yao yaende.
Sisi ndio msingi wa uchumi wa nchi ya hii kuanzia machinga, boda boda mama ntilie mpaka wamiliki wa viwanda wanatutegemea sisi.
Kuwa na adabu
Wapo wachache kati ya wengi.....Kwo sisi hatuwapi matumaini
Wanakula pesa na uchi pia.Hakuna watu wanaokula ya mwanamke pesa kiulaini kama waganga na wachungaji🤣
Dah Leo nimeenda kwenye Misa moja hivi jioni ya jumuiya Sasa kwa yale magoti ambayo mchungaji alikuwa akipigiwa noma na wale wanawake ebwana Dah 🤔
Wanawake kwa wachungaji na waganga hawafui dafu mwanangu!
👉Nihitimishe tu Yani Laiti kama Ile adabu wanayoonyesha kwa waganga na wachungaji wangetuonyesha na sisi dunia ingekua sehemu salama sana!
Mtanisamehe Sikupiga picha maadili si ya Misa. (najua ushahidi kwa jf ni muhimu)