IGNORANCE
hajui izo mbisheNgumu kuamini Yesu alipiga mbuno kama hizo za mwamba.
š¤£Ifike mahala Muache utapeli na ramli chonganishiInabidi utuheshimu sisi waganha tunachangia kustawi kwa uchumi wa nchi na mshikamano wa familia
Wafanyabiashara wote wanatutegemea sisi ili mambo yao yaende.
Sisi ndio msingi wa uchumi wa nchi ya hii kuanzia machinga, boda boda mama ntilie mpaka wamiliki wa viwanda wanatutegemea sisi.
Kuwa na adabu
Wapo wachache kati ya wengi.....Kwo sisi hatuwapi matumaini
Wanakula pesa na uchi pia.Hakuna watu wanaokula ya mwanamke pesa kiulaini kama waganga na wachungajiš¤£
Dah Leo nimeenda kwenye Misa moja hivi jioni ya jumuiya Sasa kwa yale magoti ambayo mchungaji alikuwa akipigiwa noma na wale wanawake ebwana Dah š¤
Wanawake kwa wachungaji na waganga hawafui dafu mwanangu!
šNihitimishe tu Yani Laiti kama Ile adabu wanayoonyesha kwa waganga na wachungaji wangetuonyesha na sisi dunia ingekua sehemu salama sana!
Mtanisamehe Sikupiga picha maadili si ya Misa. (najua ushahidi kwa jf ni muhimu)