The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
waganga nao wana mfumo kama hospital za rufaa unapokwenda ngazi ya juu haina maana urudishiwe fedha zako toka ile hospital ya ngazi ya chini.Huu ni msimu wa mavuno kwa waganga wengi kama jadi ya watia wenu uamini huwezi pita bila babu,watu wameliwa pesa zao na majina hayajarudi huku wakiaminishwa.
Sio fair mganga unampa uhakika mtia nia kwamba atapata ubunge then anakatwa jina.
Haturudishi na hamtufanyi chochoteHuu ni msimu wa mavuno kwa waganga wengi kama jadi ya watia wenu uamini huwezi pita bila babu,watu wameliwa pesa zao na majina hayajarudi huku wakiaminishwa.
Sio fair mganga unampa uhakika mtia nia kwamba atapata ubunge then anakatwa jina.
Mbona ushindi hamjawapaHaturudishi na hamtufanyi chochote
We mgeni bongoKwani mganga ndo anatoa ubunge?? 🤔 🤔
Wamekosea mashartiMbona ushindi hamjawapa
Ni mawazo yako tu yapo vise versa.We mgeni bongo
Kiendacho kwa mganga hakirudi.Huu ni msimu wa mavuno kwa waganga wengi kama jadi ya watia wenu uamini huwezi pita bila babu,watu wameliwa pesa zao na majina hayajarudi huku wakiaminishwa.
Sio fair mganga unampa uhakika mtia nia kwamba atapata ubunge then anakatwa jina.