Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Habar wanajf.
Kutokana na matukio yanaoendelea katika nchi yetu hasa Kanda ya Ziwa, na kati imefanya niandike huu Uzi, kwamba Hawa watu sasa imekuwa shida.
Kwani wanachangia uvunjifu wa amana kwa kuua watu wazima na watoto wasio na hatia maskini ya Mungu, ni kuwa tiba asili ni utamaduni wetu lakini sio hivyo wanavyofanya hao wanaojiita wataalamu wa tiba asili kwa kutumia viungo vya binadamu kutibu.
Aidha serikali na wananchi tupige vita waganga uchwara katika jamii na tuwakatae na kuwaondoa katika jamii kwani wanachochea mauaji katika jamii yetu.
Nafikiri Singida wameelewa na Dodoma. Nawasilisha.